Hi!
Ndugu wana jamvi hili
Naomba nitoeni kwenye kashimo haka, hivi ni madini gani Duniani yenye gharama kubwa.
Ni madini gani yana bei kubwa yanayopatikana Tanzania
Madini aina ya Ruby ni madini...
Je kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini kwetu TANZANIA. Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k
1). linakuwa
2)...
Salaam kwenu wana jamvi,
Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya Dar, Dodoma na Mwanza mtupe uzoefu wenu.
Route gani nzuri, gharama za uendeshaji, changamoto katika biashara...
Kwanini hatutaki kukubali kuwa mzunguko wa pesa mdogo?
Je,kwa dini zetu zote 2 kukubali kuwa mzunguko wa pesa ni mdogo ni dhambi?
Je,ni kweli pesa zimepungua Kwa wapiga dili?ama pesa zimepungua...
Ni muda mrefu sasa tukiwa wanne ndani ya hit kazi....mtu mmoja tu ndiye anayeshughulika na mambo yote. Wengine wanakaa wakisubiri mambo yakae vizuri bila kuchangia kivyovyote na kusema bado ni...
Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya.
Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri.
Naitwa Francis Jackson...
Habari wana jf.
Natumai mu wazima na mnaendelea vyema katika ujenzi wa taifa.Binafsi ninafatilia san thread znazofanyika na kwa mtzamao wangu kati ya yote ayo idea ya biashara ndo imekuwa kikwazo...
Habari zenu ndugu zangu.
Nahitaji mkopo wa kufanya project ya kilimo, lkn dhaman ni kiwanja chenye ukubwa wa 18*19 kipo Mbezi Dsm, nahitaji sana mkopo huo ili niweze kujikwamua, kimaisha maana...
Poleni na shughuri za ujenzi Wa taiga, naomba msaada Wa kujua ni hatua zipi napaswa kupitia pamoja na gharama ambazo natakiwa kuzilipa ili nipate hati kamili, kiwanja hicho nilikinunua kwa mtu...
Nauliza je biashara ya genge la kuuza vitu vya kawaida vya mtumizi ya nyumbani ya mlaji kama nyanya, vitunguu etc ina ulazima wa kuwa na TIN?
Na leseni ya biashara kama maduka? Je linakatwa kodi...
*BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM *
*HABARI MEMBERS *
*BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM*
*ni mfumo wa online system ya mikopo na uwekezaji wa kisasa katika mfumo wakielectronic...
Hapo mwanzo katika tawala zilizopita leseni hasa ya Biashara ilikuwa inalipiwa siku unafungua biashara tu lakini hivi sasa wafanyabiashara hasa wa kununua na kuuza wanalipishwa leseni kila mwaka...
Kwanza niseme asanteni sana kwa watu wote waliowahi kusoma threads zangu au kunitafuta kuhusiana na biashara ya Real estate hasa katika Jiji jipya la Dodoma.
Kipindi nimeanza...
Leo katika pitapita zangu nikaona tangazo la NMB kuwa kwa sasa wanatoa mkopo nafuu kwa watumishi na wamesema ni asilimia 11% pia kuzingatia 1/3 ya
mshahara.....
Maswali yangu..
1. Iyo 1/3 ya...
Kampuni ya Coca-Cola Nyanza Bottlers ya Mwanza imemwaga zawadi kwa washindi wa promosheni ya Mzuka wa Soka na Coka inayoendelea.Wakazi 16 wa kanda ya ziwa wiki hii wameweza kukabidhiwa zawadi...
Sipendi niwachooshe saana na nisiwe mwongeaji ila kwa ufupi nimeona nivema tukasaidiana baadhi ya vitu either katika kujibu au kufundishana
Mimi najitolea kufundisha sabuni ya maji kwa vitendo...
Zao la Kokoa hutokana na mti wa kakao (Theobroma cacao) ni maarufu sana katika nchi za Cameroune, Ivory Cost, Ghana na Nigeria na huko ndiko zaidi ya nusu ya kakao yote duniani inazalishwa kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.