Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari zenu wana jukwaa. Niende kwenye kiini Cha mada, Mimi ni mhangaikaji mwenzenu yaani ni mtu naisaka pesa popote inapopatikana ilimradi iwe njia ya halali. Natafuta pesa bila kujali ni kazi ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Nasoma diploma in accountancy nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kujiajiri kulingana na taaluma yangu. Asanteni
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Kuna siku nilileta bandiko hapa la Mdada gradute kuuza uji watu kwa kifupi povu liliwatoka na wengi unakuta wako mtaani na wengine wanaishi kwa shemeji na wengine wamejiriwa wanakula Kilo 3 na...
29 Reactions
85 Replies
14K Views
Kila mmoja kwenye maisha anataka mafanikio maana mafanikio yako ndio yatakayokufanya ushi maisha ya kifahari, uweze kumilijiki majumba pamoja na magari ya kifahari. Lakini umetamani sana kutafuta...
10 Reactions
33 Replies
11K Views
Wasalam wakuu Kumekua na faida chungu mzima za kununua bidhaa mtandaoni hususan eBay,Amazon,aliexpress, na wengineo Leo naomba nije na maswali kuhusu hawa alibaba Kiukweli mimi nina uzoefu na...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Nime import bidhaa na nimechajiwa VAT bandarini ila wateja wangu wa Zanzibar wakitaka ingiza mzigo zanzibar wanachajiwa tena VAT, Nitumie document gani, ili wakionuesha wasichajiwe tena VAT??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukifika Dar Intl Airport na ukaingia pale FLAMINGO RESTAURANT kama upo makini utagundua movements zisizo za kawaida yaan kama kuna biashara isiyo ya kawaida inafanyika pale yaani kuanzia wahudumu...
10 Reactions
84 Replies
15K Views
Kwa wale wote wenye uhitaji wa fulanaa au manga Kali zilizokwixha printiwa zinapatikanaa hapaa kwangu nichek kwa nambar 0658176932or 0742036732 au unaweza nichek au kunifollow instragram follow...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
kwa anae tumia ADVCASH ...ukishajiunga kuna sehem 3 za kujaza ile ya pili wanadai baadh ya vitu flani flani hivi ila kwangu nimeona nafuu barua ya utamburisho kutoka bank but nilipoenda bank...
0 Reactions
6 Replies
741 Views
Wadau ni njia zipi nifuate ili kufanya kazi na haya makampuni??? Pls kwa anayejua na aliyefanya nao naomba anaeleze. N:B Pia mapungufu ya kazi hiyo mniambie wadau. Kwa urahisi waweza ni sms...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Haya ndgu zangu wa kanda ya ziwa, tujumuike pamoja kupata mafunzo ya Forex yatakayoanza tarehe 20 November 2017 jijini Mwanza. Training hii itaendeshwa na wataalam wa hii business The Million...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani habari za humu ndani. Naombeni msaada jinsi ya kuwa freelancer wa airtel. Niko Tabora.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa kiasi kikubwa sasa biashara (Industry) mbalimbali zinakutana na mabadiliko mengi na yasiyotarajika na kutabirika (environmental uncertainty). Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa na biashara ya kutengeneza chakula cha mifugo na pellets anisaidie. Ikiwa rawmaterial ni pumba na mashudu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii habari ni mbaya sana kwetu Watanzania, lakini pia ni fundisho kwetu tujisahihishe kujua ni wapi tunapokosea katika mikakati ya kukuza uchumi wetu. India imeweza kuuza Tanzanite yenye thamani...
2 Reactions
85 Replies
14K Views
Habar wakuu Kutokana na maisha yalivyo kwa sasa ni biashara gani mwanafunzi wa chuo anaweza kuifanya akajikwamua kimaisha?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku? Naomba msaada wenu, Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Utangulizi Fuatilia maelezo ya kila mfumo ukitilia maanani faida na hasara za kila mfumo. Unaweza pia kumtumia mshauri wa masuala ya biashara kukushauri kulingana na mazingira yako utakayofanyia...
2 Reactions
1 Replies
7K Views
22.6m/- set for monthly innovative ‘green’ idea winners BY DAILY NEWS REPORTER 12 APRIL 2018 Dar es Salaam online platform has introduced a sustainable social media platform...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi viwanja vya Songwe Mbeya Vijijini kwanini vinauzwa kwa bei kubwa hivi? Kwenye makazi square metre wanauza 11,500/=. Hii ni ardhi ya Serikali au? Kiwanja cha square metre 600 ni milioni...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Back
Top Bottom