Wanabodi,
Ningependa kujua ni nani anasimamia usafi na miundombinu ndani ya masoko yetu Dar es salaam. Mvua ikinyesha kidogo masoko yetu yanakuwa kama Goma, Congo ni mwendo wa tope na uchafu wa...
By Hussein Boffu
The construction of the 1445-kilometer East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project is another gold rush. The campsites have been built and some jobs related to studies and...
Katika miradi na vitega uchumi tunavyoanzisha, wengi hatuwashirikishi watoto wetu mapema.
Siku ukipata ajali, ugonjwa au kifo ndipo mke/mume au mtoto mkubwa anapokabidhiwa biashara au mradi...
Mambo vp wanabodi natumaini wote ni wazima wa afya njema, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta watu wa kushirikiana nao kwenye biashara, mimi nina blog na Online TV kwa upande...
Jamani kuna masufuria ninayahitaji ya kkupikia vyakula vya mashughuli zenye uwezo kuanzia kilo 50 hadi mia katika mtandao unaoitwa jumia nimejaribu kuwaandikia ili niwe na uhakika na...
Habari wana JF,
Kwa majina naitwa Seki Mlekoni Mtulia mwenye umri wamiaka 23 nayeishi Dar Es Salaam- Mbagala. Nina wazo labiashara/mbinu yakuingiza profit safi.
Biashara inaitwa IQ option...
Wanajamvi naitaji mkopo wa ela tajwa iwe kampuni au mtu binafisi kwa ajili ya biashara ninayotaka kufanya
kwa yeyote anaye weza ninaweza kufanya nae tukutane pm kwa maelezo zaidi.
Wadau kuna kichwa cha habari nimeona leo kwenye gazeti la Nipashe kuhusu neema kwa wakopaji na waliokopa kupunguziwa, naombeni mnieleweshe kwa wale wataalam wa mambo ya mikopo.
nawasalimu wrote.
nipo naishi Morogoro mjini na nimepata mtaji kidogo wa mil 2 hivi, wazo langu nije dar kuanza biashara au ujasiriamali.
kinachonisumbua ni kua, mimi sio mzoefu na jilo jiji...
Do you want to be a successful trader? Then you need to unlock your potential and develop the right habits and routines.
Experience shows that people want to keep doing what they are doing...
Wizara ya Anga ya India imetangaza kuweka sokoni umiliki wao wa 76% kwenye Air India baada ya serikali kushindwa kuendelea kuvumilia kula hasara.
Air India wamesema atakaependa kuwachumbia ajue...
Tanzania is a developing country with growing infrastructure, use of simple technologies and industrial sector. Small scale and medium enterprises (SMEs) make up good percentage of businesses...
Hadi kufikia Januari 2018, Deni la taifa la nchi ya Uingereza lilikuwa limefikia dola za Marekani 2.5 trilioni, Japani dola trilioni 9.5, China dola trilioni 4.6, Marekani yenyewe dola trilioni 20...
Hello
Inasemekana out of 10 new businesses 9 of them fail within their first year, kwa kauchunguz kangu hizi ndo brands/bidhaa zilizokuwepo hapa tanzania lakini sasa hivi hazipo tena sokoni, au...
Habari wanajamvi nilikuwa napenda kufanya biashara ya vyuma chakavu je ni makampuni gani yananunua,vipi kuhusu bei kwa tani ya vyuma chakavu na ni mtaji kiasi gani unaitajika? Na ni changamoto...
Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo...
Habari wana JF,
Natamani sana nifungue NGO's ya ambayo itajihusisha na kuwaangalia na kuwatetea watoto wenye ulemavu na waishio katika mazingira magumu kwa kuwapa misaada midogo midogo na...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Neutral
The market bias is neutral in the long-term and bearish in the short-term. Since February 2018, price has been ranging (whereas December 2017 and January...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.