Matangazo mengi ya redio siku hizi yamekuwa ya kawaida Sana angalau lile na Mangi Ndooroboo weeh lilikuwa na ubunifu na entertainment ndani yake kiasi likawa gumzo kwa wasikilizaji....
Achilia...
Sitaki kuongea sana ila mimi ni mtumishi wa umma, niliomba mkopo kwa ajili ya dharura ya kifamilia mwezi umepita. Nilifuata taratibu zote ila baada ya kila kitu kufanyika na makato kuingizwa...
Nina dhamana ya nyumba na duka viko mkoani,ila Mimi naishi Dar es salaam.ninaweza kupata wapi mkopo wa milioni 20? Nahitaji kukopa ili nipanue biashara yangu.sitaki kukopa CRDB au NMB kwa sababu...
kwa yoyote mwenye uelewa na hili soko la DSE vizuri, nahitaji msaada ile kujua kwamba ni lazima uwe na broker ili uweze kujisajili kama investor mpya?! nimejaribu kuwasoma vizuri kupitia website...
Likiwa jiji la pili kwa ukubwa nchini na wakazi wapatao 1,000,000 kwa sasa (700,000 mwaka 2012), Mwanza, maarufu kama Rock City, inatarajiwa kuanzisha Soko la Kimataifa la Madini, litakalowezesha...
Nilikuja hapa kuomba ushauri mwaka jana mkanipa ushauri mzuri sana nikaufanyia kazi mwanzo wa mwaka nikaja kuomba tena ushauri na shukuru sana kwa kunipa tena ushauri napenda kuwashukuru wote kwa...
Katika hili ki ukweli sioni hata faida ya Haya ma mashine ya SELCOM na MAXMALIPO maana mawakala wote hapa walikua wanategemea kwa 80% faida ya kamisheni kutoka kwenye Mauzo ya luku.
Leo hii...
Kipato cha ziada huwa kinapatikana kutokana na uwekezaji na maandalizi tokea mwanzo.Baada ya kuwekeza mda na kufanya kazi kwa bidii ndipo pato huanza kupatikana itakuletea mapato thabiti bila...
Wanajamvi salaam.
Nimeona kama kuna uwezekano wa kuunganisha mawazo, na rasilimali na kuwa na kiwanda kidogo ambacho kitakuwa kikimilikiwa na watz kama 10, bila kuzidi.
kuna msingi ninao na...
Habarini wana jamvi
Mimi ni mjasiriamali ambae bado nachipua nina project ambazo ni startups lakini katika baadhi ya project izo kuna tatizo ambalo lmenitesa sana lakin bado sjapatua ufumbuzi...
Serikali sasa hiv inalazimisha watu wa maroli nao wawe wana tfd machine kwa ajili ya kukata risiti ...
Je, hii inawezekana vipi na kama mtu ana maroli zaid ya 2
Je, inatakiwa awe na TFDA machine...
Five Star hotel may threaten Zanzibar's Heritage Site status
Fish traders at Nungwi beach in Zanzibar. The government will probe some top officials with dubious investment...
Inashangaza sana kiukweli.katika pita,pita yangu mitaani nikiwa katika harakati zangu za kujikwamua kiuchumi.nilifika katika mgahawa na kupata chakula cha mchana.pembeni yangu kulikua na vijana...
DO YOU WANT TO BE ENTERTAINED OR RICH?…IT’S YOUR CHOICE
I came across this excellent chart the other day. It shows those times in history when the S&P 500 doubled over a ten year period and the...
Wakuu mwenye uelewa na biashara ya kutengenez bati, "roll forming " naomba tupeane uzoefu.
1. Roll forming machine bei gani
2. Inatengeneza aina ngapi za bati glazed etc
3.uagizaji wa coils na...
Kama kichwa kinavyosema wadau,nimedhamiria kufanya biashara ya kutoa mazao ya samaki wa baharini na kupeleka huko,na week ijayo inanibidi niende kufanya utafiti wa soko huko ila shida yangu ni...
Kama kichwa kilivyo hapo juu nina shamba langu heka 50 lina document zote naitaji mkopo wa kilimo Je ni benki gani ina weza nipa mkopo haraka na limit ni kiasi gani vipi kuhusu riba nk