Hata ukimpa benefit of the doubt kwamba ni kosa la kimahesabu la kibinadamu na hata tukisema ni karani wake alikosea ku type, bado Assad anaamini kwamba siku deni la taifa likikua likafika zaidi...
Mimi ni mjasiliamali huwa nauza pop corn shuleni.Inanilipa vizuri.Nataka kubuni biashara nyingine zaidi na wateja wangu wakubwa ni wanafunzi.Unadhani ni biashara gani nikifanya itanipa pesa...
Nitangulie kwa kusema mie ni mfanyabiasha ninayefanya biashara kisheria.
Masikitiko yangu ni kuhusu suala la kuruhusu wanaoitwa machinga kuziba biashara zetu, ivi sie haki yetu iko wapi?
Mie...
Habari zenu ndugu.
Hivi karibuni nimegundua nina uwezo (sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali, zikiwemo za elimu, uongozi bora, biashara na hata michezo...
Naomba msaada wa kitaalamu. Mm ni Mkulima wa Korosho huku Mtwara. Nimeuza shamba langu la Korosho kwa milioni moja na nusu (1,500,000) lengo langu ni kujenga kiwanda cha kubangua korosho ili...
Sabuni ya jamaa inayotengenezwa nchini Kenya imekuwa ikifanya vizuri sana kwenye soko hapa Tanzania kwa miaka mingi sasa, kiasi ambacho imezifunika sabuni nyingi sana za kufulia hapa nchini...
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa,wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai...
Habari za Kazi wana JF,
Kama somo linavyojieleza nimekaa na kutafakari sana juu ya uchumi wa Nchi yetu Tanzania. Baada ya kupata Uhuru Mwl Nyerere alijitahidi sana kupambana kuiweka Nchi yetu...
Kuna aina mbili za Incubator
mashine;
(i)Zinazotumia mfumo wa Fan ndani ili kusambaza joto
(ii)Hizi nyingine zinatumia mfumo wa joto tu bila fan
Hizi za kutumia fan ndani ya mashine ndio nzuri...
Ndg zangu Wanajamii,
Nimekwama naomba ushauri, nimepata mkopo wa TZS milioni 5, nina wazo la biashara ya jumla ya kununua gunia za Mchele toka Mbeya - Mbalali na kuleta hapa Dar na kuuza kwa...
Nikiwa kama mteja na at the same time nimepitia kazi za marketing nyingi, nashangaa sana kwa kuwa sijakutana na wafanyabiashara wanaotumia hii njia ili kupata wateja, especially kwenye karne hii...
CRDB yakiri kuitaifisha Sekondari kufidia deni
BENKI ya CRDB imekiri kuichukuwa Shule ya Sekondari ya Mkandawile kwa kufidia mkopo wake walioutoa kwa mmiliki wa shule hiyo.
Ofisa uhusiano...
Kama heading inavyo sema ,katika harakati zangu za kusaka pesa nimepata wazo la kufanya hii biashara. Huku niliko maziwa yanapatikana kwa wingi sana kwa bei ya chini,mpango wangu ni kununua maziwa...
Wakuu naomba kujua pesa ya Zambia (Zambian kwacha) kwa mfano 100 ya Zambia ni sawa na Tsh ngapi kwa sasa ktk maduka ya kubadilishia pesa? Nikipata kwa walio mbeya itapendeza zaidi.
A few days ago nilipata hamu ya kula ndizi, nikatoka kidogo kwenda nje kununua, when i got there nikatoa mia tano (500) ambayo without me knowing ilikua imechanikakwa juu kidogo tu, nlipo mpa...
Fedha ni muhimu sana kwenye maisha yetu, kwa yale mambo yanayohusu fedha. Na kwa kuwa karibu kila kitu kwenye maisha yetu kinahusu fedha, basi fedha ina umuhimu mkubwa.
Sitaki nianze kukuambia...
Wakuu amani ya bwana iwe nanyi,
Kwanza kabisa hakuna mzazi hata mmoja ambaye anapenda mwanae au kijana wake asifanikiwe lakini kwa namna moja ama nyingine wazazi wamekuwa ni chanzo cha vijana na...