Naamini wanajamvi wazima, nianze kwa kusema maisha ya sasaivi ni magumu bila kuthubutu na kujitoa kwakeli autoki kwenye haya maisha
Niende kwenye mada, mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili...
Wadau naomba mnisaidie gharama za kufanya installation za machine ya Peanut roaster machine, peanut peeling machine na peenut butter machine zote kwa pamoja zinagharimu kiasi gani za fedha za...
wakuu.
niliwahi kuandika hapa kuhusu mazingira na sera mbovu za kibiashara kwa sasa Tanzania,
hakuna mtu atavumilia kukimbizana na TRA kila leo , wana east africa wengi wataenda kufanya biashara...
Chemba ya viwanda, biashara na kilimo nchini (TCCIA ) imepokea ugeni wa wafanyabiashara kutoka nchini Ufaransa wenye lengo la kujadili na kupanua mianya ya biashara kati ya Tanzania na Ufaransa...
Habari wadau,
Siku za karibuni nimeanza kufanya biashara za usindikaji, nasindika asali na korosho, ila nna changamoto ya kuwa na barcode kwa bidhaa zangu, naomba kwa anaejua mchakato wa kupata...
Ndugu wanajamvi, heshima kwenu.
Nataka kujiingiza kwenye hii biashara ya kununua machupa na kuuza kiwandani.
Kwa wale wanaofanya au waliofanya nipeni dondoo ya hii biashara.
Bei ya kununulia...
Ni rahisi kufanikisha jambo lolote, ikiwa jambo hilo utataanza kulifanya mara moja na kuacha kusubiri.
Ni rahisi kujifunza kitu kipya kwenye maisha yako, ikiwa utaamua kweli kujifunza kila siku...
Ni wazo kuu ni hivi kutegemea na soko la ajira kwa wenye taaluma mbalimbali limekua gumu napenda kuwaomba vijana wenzangu tuungane kwa pamoja kisheria tufanye jambo.
Kwanza nimeandaa mkakati...
Mimi namiliki gari aina ya center yenye uwezo wa kubeba tani 2. Nimeajiriwa na kampuni za bandarini hivyo natakiwa kila Siku ofisini gari nmepaki tu nyumbani. Wikend napata muda wa kutumia gari...
Hawa jamaa wa BRELA wametumia BILIONI 1 kununua software ( kuna taarifa ni kwa njia ya utatanishi kwani haikutangazwa hata hiyo tenda)
bonyeza section ya services kwenye hii website below...
Mfanyabiashara Aliko Dangote amefungua kiwanda cha saruji chenye thamani ya dola milioni $300 nchini Congo Brazzaville ambacho kina uwezo wa kuzalisha tani 1.5 milioni kwa mwaka.
=========
The...
Wakulu,
Kutoka katika ajira ya kuajiriwa na kuingia katika ajira ya binafsi ni kazi kubwa.Mimi niko njia panda nataka kupata mkopo wa kununua truck ili hata nikiacha kazi yangu ya kuajiriwa...
Wakuu habari za hapa,natumaini mko salama.Wakuu kuna watu wananifuata inbox face book na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe.sasa mpaka naileta kwenu hapa in kqamba naogopa kuingia choo cha...
i have reached the threshold on adsense Lakini bado sijajua njia ya kutoa pesa hizi au kinachoendelea nimeshaset Western union kama Primary way to get my Revenue ila bado hawajanitumia lolote!
Bank of Tanzania.
The Bank of Tanzania (BoT) has issued another business license to Creditinfo Tanzania Limited, a credit reference bureau based in Dar es Salaam.
A brief statement issued by the...
Kwanza nikiri kwamba sijui chochote kuhusu uchumi.Ninavyofahamu mimi ni kwamba uchumi wa nchi unapokuwa mkubwa na ndivyo thamani ya pesa yako inavyokuwa kubwa/imara linapokuja swala la masoko...
Wakuu habari za hapa, natumaini mko salama,
Wakuu kuna watu wananifuata inbox facebook na kunishawishi nijiunge na hiyo Aim globe. Sasa mpaka naileta kwenu hapa in kwamba naogopa kuingia choo...