Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau, nimepata vijisenti kiduchu na kuona kama naweza angalou nunua kausafiri hivi. Nataka kuñunua NISSAN X TRAIL ya mwaka 2007 ambayo ni dolali 4115 ila wanasema tax and duty haipo. Je...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimesoma kwenye mitandao nikakutana na kitu Online Forex business. Nimejaribu kusoma lakini sijaelewa sana. Yaani kununua currency moja na kuiuza kwa currency nyingine online, Mwenye uelewa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kama uzi unavyojieleza Kati ya mbuzi na kuku ufugaji upi unaweza kukupa tija bila kukumbana na majanga ya magonjwa kama kuku mfano gomboro. Kideli nk.. Najua Kuna watu humu wameula wa chuya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za Leo,Mimi sio mgeni sana hapa Jf Ila acc yangu ya mwanzo nimeshindwa kuitumia Kwa ss,.. Naomba kujua uzoefu Wa wafanyabiashara Wa Mpya za dukani hasa wale Wa Arusha na maeneo ya...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari za muda huu wana jamii forum Nahitaji mnisaidie tafadhalini, Ninataka kuwa wakala, ila nataka sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu hapa Dar es salaam, yani yenye muingiliano wa watu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Hallo JF, Kama kuna mtu anaweza kuandika katiba ya NGO (Christian NGO) tuwasiliane kwa PM saivi kuna katiba inahitajika bei maelewano. Asante.
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari, Leo baada ya king'amuzi changu kuisha salio nimebakiwa na channel moja ya kutazama, si nyingine bali TBC. Naona hapa kipindi cha "this week in perspective". Wanajadili mambo mazuri ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards last week, after moving sideways on Monday and Tuesday. Price gained 210 pips, closing above the...
2 Reactions
1 Replies
575 Views
Nina wazo 1. Hapa nilipo kuna mialo ya kupembua dhahabu.(kwa walioishi machimboni wanajua). Sasa wanapakia marudio kwa makoleo. Nawaza nikipata kijiko cha kupakia kinaweza kurahisisha kaz maana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hoja tofauti kuhusu uwezo wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara,kwa anayefahamu hili.... Ningependa kufahamu uwezo mkubwa wa kibiashara walionao baadhi ya wafanyabiashara wakubwa...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
ndugu zangu mim naomba ku-share na ninyi story hii. watoto wangu (wana miaka 6 na 4) wamefunga shule . walienda kwa grandparents wakakaa kama wikil mbili. wamerudi Jumamosi. kesho yake jumapili...
11 Reactions
16 Replies
3K Views
JINA LA BIASHARA Jina la biashara ni kitu muhimu sana, na kuna watu wanaamini kwamba mtu hujieleza kupitia jina lake, Na kuna vitabu vingi sana vimechapishwa na vinavyo elezea maana ya kila Jina...
2 Reactions
11 Replies
55K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu mwka wa pili napenda sana kufanya biashara ila nahofia sana kufanya vivo kwani program ninayoisoma inahitaji kuwa busy sana sasa imekuwa kikwazo kwangu kwani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Napatikana DSM nicheki whatsup kwenye hotline +255769509430
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Katika pitapita na harakati za hapa na pale huku nikitafiti vitu vidogovidogo nimona mfano wa kitu ambacho ni vizuri Tushiriki katika kujadili na kubadilishana maarifa. Mzee mwenye mvi na mke...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi kwa majina naitwa Stewart simba nipo mwanza pia ni mwanachuo ktk chuo cha afya tandabui {tihest) nasomea utabibu(clinical medicine )diploma . Lengo la kuandika ujumbe huu ni kwamba nahitaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa kinavyo jieleza ,Mimi Kijana mwenye umri wa miaka 24 nilie maliza Chuo nikichukua kada ya engineering Lengo. Ni kwamba nimekua Na idea nying za kibiashara naweza list some...
0 Reactions
3 Replies
889 Views
Wakuu nimekutana na hii asasi ya Kopa Mali foundation mtandaoni ( http://www.kopa-mali.wapka.mobi/site_0.xhtml ) naona kama vile maelezo yao ni mazuri na ningependa kuwa mwanachama lakini...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…