Ninafikiria kufanya biashara ya battery fulani ambazo zinapunguza gharama kwa kiasi kikubwa kwa mtumiaji ila sina uhakika kama soko ni kubwa kihivyo. Hivi ni biashara gani zina matumizi ya kila...
Nina wazo wakuu ningependa tukusanyane Kwa pamoja tuunge kikundi cha vikoba. Na tuanze kukopeshana mitaji sisi Kwa sisi lengo ni kusaidiana na kutatuliana changamoto hizi za maisha yetu ya kila...
Wasalam
jana nilipata muda wa kuhuzulia semina zinazoendeshwa na clauds media pale royo village dodoma
Nampongeza sana huyu mwanzilishi wa wazo hili kwamba kila wanapo kua na fieata basi na...
Natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu!
Mimi ninaishi maeneo ya shule, naweza sema ndani ya shule fulani hapa mkoani! Shule hiyo ni ya wasichana na ina O'level na Advance! Sasa hapa kuna...
Habari wana jamvi wenzangu...
Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya...
Za asubuhi nyote.
Naombeni msaada kidogo wa kupatiwa maeneo ambayo kuna wakulima wengi wenye kulima mazao ya biashara. Na wakulima wenyewe wanauza kwa vikundi au wanauzia makampuni moja kwa moja...
Habari wandugu, poleni na mihangaiko.
Kusudio langu kwa wale wanaofahamu gharama ya kupata CRDB visa or master card inagharimu sh ngapi. Lengo ni kufanya malipo ya nje ya nchi na pia kuunganishwa...
Uhali gani mwana Jamii Forum, natumaini umzima kabisa.
Husika sana na title hapo, napenda kuuliza: Inawezekana kwa mtu binafsi kuanzisha sehemu ya biashara zinazofanyika hasa vijijini ambazo...
Wakati Gazeti laThe Citizen likiripoti kushuka kwa ukuaji wa uchumi kulingana na projection ya Benki ya Dunia, Gazeti la Daily News lenyewe linaandika: "Dar economy is flying high" huku yote...
Hii ni kwa wale wageni wanao kuja jijini mwanza, rejea kichwa cha habari hapo juu na kupiga namba hii 0763269695 ili ujipatie usafiri na mapokezi yenye uhakika mpaka sehemu utakapo fikia. TUNAKU...
Wadau naipongeza sana Serikali ya Awamu ya 5 Kwa sera yake ya ufufuaji VIWANDA.Furaha yangu itakuwa pale Kiwanda cha nyama na nguo vitakapo fufuliwa.(TANGANYIKA Packers na Urafiki)
Sent using...
Nahitaji kununua gari ya biashara aina ya coster, najua kuna wajuzi wa haya mambo nahitaji kufahamu gharama za uendeshaji wa hii biashara, itanilipa baada ya muda gani, na hasara zake ni zipi...
Maswali
1. Elezea ni kwanini riba za bank za Tanzania ni 18%-25% wakati nchi nyingine wana riba za 5% kwa sasa?
2. Je hii inapunguza vipi kupanuka kwa uchumi?
3. Je tufanyaje kupunguza riba na...
Wakuu salaam,
Nina wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha uchapishaji vitabu (Micro Press). Ninaomba msaada kwa mwenye uzoefu na shughuli hizi katika mambo yafuatayo:
1. Aina za Mashine za muhimu...
Kila nchi ina vigezo vyake vya kiuchumi na ina mambo ambayo yanategemewa sana ,katika kuendeleza uchumi wake.Kwa mfano mambo yanayoufanya uchumi wa Marekani kukua ni wingi wa Maliasili kama...
Ni kweli kuwa kuna huduma nzuri mnazitoa,
Ila mnatakiwa kujua kuwa sisi ni wateja wenu na tunaweza kuwahama muda wowote,
1. Vifurushi vyenu vinasumbua ku- extend kama hamna huduma iyo ni bora...
Most Forex brokers aren't your traditional financial intermediaries found on Wall Street. When operating in international currency and CFD markets, full understanding of the structure and...
Habarini wadau wa JF !
Nahitaji msaada wa mfumo mzuri wa uongozi wa kampuni. Kama kuna watu wa utawala humu, raslimali watu nk wanisaidie. Ikiwa kampuni ndogo tu au ya kati na hususani kwenye...