Wakuu habari za weekend naomba niende moja kwa moja kwenye kichwa cha ulizo langu
Kuna site hii jmoney.site hii site inamatangazo ambapo ukiingiza code flani wanazokupa wabakulipa mpaka sasa...
natafuta kampuni,credit one ambayo naweza kukopa kupitia mfumo wa kuacha atm card ya akaunti ya mshahara.kwa maana hicho ndicho nilichonacho.sifa zingine kibenki sina.nipo dar
Wakuu naomba wenye fursa mbali mbali za biashara mzitoe hapa na jinsi gani ya kuzifanikisha.
Toa fursa ukizingatia mtaji wa kuanzia million 1-5
Asanten#
1. Think & Grow Rich by Napoleon Hill
A must for anyone wanting to improve their lives and their positive thinking. There have been more millionaires and indeed, billionaires, who have made their...
Vitabu madhubuti na makini sana kwa ajili ya matengenezo ya afya yako, afya mkeo na afya ya Mtoto tangu akiwa tumbon mpaka anazaliwa, kwa bei nzuri.
Tupo dar Es salaam, Dodoma, mwanza, Arusha na...
Habari wajasiriamali wenzangu,
Hivi karibuni nafikiria kijiunga na wenzangu katika kuajiri.
Ipo hivi;
Ninunue gari Aina ya Toyota Noah kisha dogo akafanye biashara ya kubeba abiria kutoka...
Habari za majukumu wana Jamvi.
Naomba niulize kwa mwenye kufahamu jinsi ya kuwasiliana na wakala anaetambulika na DSE yaani Dar es Salaam Stock exchange kwa jinsi ya namna ya kununua hisa.
Asanteni!
Mzungu aliwahi kusema "scarcity is expensive: uhaba wa kitu unaongeza thamani, Ndivyo ilivyo katika soko la ajira, Hapo zamani uhaba wa watu wenye degree uliwapa soko kubwa na walilipwa vizuri na...
Wakuu
Hili leo lazima tujiulize, Trump kasema Afrika kuna fursa nyingi za biashara na rafiki zake wengi wanakuja huku na kutajirika.
Lakini humu tu kuna thread nyingi za kushauriana jinsi ya...
Mkuu wa Kitengo cha wateja wa Reja Reja wa Ecobank Ndabu Lilian akizungumza wakati wa Uzinduzi
Dar es Salaam.
Ecobank imeboresha aplikesheni yake ya simu za mkoni kwa kuanzisha utaratibu...
Its just curiosity;
Kwamba BOT wanajua kwa sasa kuna jumla ya Shilingi ngapi kwenye mzunguko nchini?
Kama ndio. Wanajuaje? Au wana hesabu tu ya walizoprint.
Tupeni elimu wajuzi.
Wakuu salam.
Hoja kubwa ni serikali ilisema imefuta kodi kwenye mbolea, sasa kwa nini bei iko juu bado afadhali enzi ya jk kuliko sasa, mnatuwazia nini sisi watanzania wakulima?
Mwenye ufahamu anisaidie utaratibu wa kuwa wakala wa sports betting Bila kujali ni kampuni ipi Kuna fursa nimeona hapa mtaa naona watu wengi ikifika wkend wanajazana kupiga Ramli tu,
Sent using...
Habarini wapendwa,
Naomba kuwajulisha fursa ya ujasiriamali wa huduma ya chakula pale ubungo external. Wafanyakazi wengi wa BENJAMIN MKAPA PROCESSING ZONE huwa wanatoka nje muda wa chakula kwa...
BIASHARA YA TAX DAR NI GARI GANI INAFAA ZAIDI?
Wadau wa hiyo biashara hapo juu,
Naomba kupata ushauri kwa aina ya gari inayofaa ili kukuwezesha kupata faida kama mmiliki na kuwakabidhi madereva...
Inaaminika kwamba mishahara watu wanayo lipwa ni hongo ya kuwafanya watelekeze Ndoto zao na waanze kutekeleza ndoto za wale wanao wapatia mishahara.
Hii inapata Nguvu kwa sababu Msomi au mtu...
Mimi ni mteja wa benki inayotoa card za Tembo card VISA na Master Card.
Nimekuwa mteja wa benki hiyo kwa kipindi kirefu tangu enzi hizo tukiwa tunatumia tembo card ya kawaida.
Baada ya...
Tanzania sasa imekua si sehemu salama kibiashara kwa upande wangu, tangu mwaka jana November sijawahi kuona faida ya biashara, matumizi yamekua makubwa kuliko faida, yes nikaona isiwe shida...