Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Leseni ya Mwendelezaji Hii inatolewa kwa mwekezaji anayetaka kuwekeza katika miundo mbinu kama vile ujenzi wa majengo ya viwanda na maghala, ujenzi wa barabra za ndani, usawazishaji mazingira na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu yangu wakati ukiwa unatekeleza mipango yako zipo changamoto zitakazokupitia na kukufanya hujihisi huna nguvu tena ya kuendelea. Kama wewe unaesoma ujumbe huu umekumbwa na jambo kama hili...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale ambao wameshaanza kutumia huduma hii naomba mtujuze tafadhali,ni kiasi gani unapaswa kuweka akiba ili ustahili kupata mkopo? Na mengine ambayo ni muhimu kujua kuhusu huduma hii...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Hi People Nahitaji msaada kujua kama unataka kufanya biashara na USA kupitia AGOA unafanyafanyaje?? Nasikia soko liko waziwazi huko America, tunasububiriwa siye tu tupeleke bidhaa. Msaada tafadhali
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Wanajamvi,, Poleni na majukumu. Historia: Mimi ni kijana umri 25. Nilimaliza kidato cha 4 mwaka 2010. Nikafaulu na kuchaguliwa kujiunga form 5 (2011) Azania boys. Comb: PCB. Mlezi...
1 Reactions
96 Replies
15K Views
Niliwahi kuleta Mara Mbili humu Janvini swala la watu kuunganisha Mitaji, hakuna aliye jari, watu wanataka kila mmoja aonekane kwamba anaweza, kila mtu anataka aonekane kwa Ndugu, jamaa, marafiki...
14 Reactions
74 Replies
8K Views
Kwanza kabisa hongera benki ya CRDB BANK kwa huduma mnayotupatia. Pili tunaomba uongozi wa benki kuwabadilisha wafanyakazi wa branch moja kwenda kwingine( kuhamisha wafanyakazi) hili...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vigumu sana watu kukuelewa wakati una tekeleza maono yako. ni vigumu sana tena mno.Watakuja kukuelewa baada sana. Ndo maana mtu akija hata na wazo la kufuga panya ni vigumu kueleweka. Watu...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika ulimwengu wa biashara kuna vitu viwili ambavyo vinafanana ila si kitu kimoja.....navyo ni HATI MILIKI na HAKI MILIKI. Kwa haraka haraka tu, HATI MILIKI hudili na umiliki rasmi wa uvumbuzi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Jf members, samahani naomba kupata elimu jinsi ya kutumia demo account kwenye Forex, napenda kujua jinsi ya kununua na kuuza fedha za kigeni na meta trade 4 na demo account nimeisha fungua...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wasalaam wana jf Nahitaji kujua gharama za kufanya mabadiliko kwenye kampuni yangu kama yafuatayo kumtoa director na kumuingiza director mpya,kubadilisha mwenyekiti na address, kubadilisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukitembelea mashamba ya Kahawa Kilimanjaro utakutana na Wazee ambao kabisa unaona nguvu zimekata. Hawa wazee do walikuwa wazalishaji wakubwa sana wa Kahawa enzi hizo ila kwa sasa wakati ni ukuta...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Achana na habari zifuatazo; - Nimehamasika sana. - Nimesimuliwa - Tumeshauriwa - Nimeona. - Nimesikia -Nimeambiwa -Nimesoma mahali. Hayo hapo juu ndo sababu za mtu kuanza Project na ndo maana...
12 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna kanuni inasema ""anayekuringishia vyako alivyokuibia mwambie basi sivitaki tena"" ndio njia pekee ya kujikwamua na maumivu ya muda mrefu yanayotokana na kuibiwa au kudhulumiwa. Kwa miaka 20...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mtu yoyote yule anaweza kuwa Mjasiriamali mwenye mafanikio makubwa na hii itawezekana tu endapo utainisha matatizo ya Jamii na kuyapatia ufumbuzi na baada ya hapo jamii itakuletea pesa kwa wewe...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya mwaka jana mwezi wa tano kuamua kufanya biashara ya mchele na namshukuru Mungu inanilipa vizuri mpaka sasa. Kipindi naanza biashara nilikuwa nipo mwaka wa pili chuo flani, na...
3 Reactions
46 Replies
8K Views
Hebu fikiria khs msumari , Msumari hugongwa sna kabla ya kutoboa na kuzama ndani ya kitu, ndio Jinsi maisha ya Kijasiriamali jinsi yalivyokuwa. So kbla ya kutoboa jiandae kugongwa sana !. Ila...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naleta kwenu hasa vijana ambao hamna kazi, sasa usilalamike tena ingia kwenye linki hii ifuatayo na upate pesa kwa kuangalia matangazo. Kwa siku unaweza pata TSh.500,000/= mpaka...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Baada ya tukio la wiki iliyopita kutokea kwa vijana zaidi ya 56,000 waliokuwa wakipambana kupata ajira 400 tu zilizokuwa zikitangazwa, kumetokea na kundi la ambalo binafsi nawaona kama watu...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mm ni kijana wa miaka 19 nimehitimu kidato cha nne 2016 nmebahatika kupata division 3 Ila kipato cha nyumban nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano Ila nilikua naomba msaada wa kupata ajira ili...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom