Kwa sasa mtaani kumekuwa na shida kubwa juu ya hawa ndugu zetu wachina kwani wanachofanya mitaani si sawa hasa kwa vijana na watoto walio chini ya umri wa miaka kumi na nane , wanasambaza mashine...
Najua huku kuna wataalamu wa mambo ya fedha. Naomba usharui nataka kufungua account ya fedha ya kigeni husasani Sterling Pound (£) na vile vile nataka niwe nahamishia fedha kwenye e-wallet kama...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is neutral in the short-term, but bullish in the long-term. Price moved sideways from Monday to Thursday, and...
Wakuu habarini.
Nataka kuanza kufanya manunuzi online ila leo nimeenda posta wamenambia kuwa natakiwa nifungue sanduku langu la posta kwa elfu 30 yaani ngachokaa kbs
Hii ni ile posta pale...
Kati ya hivi ving'amuzi Continental HD 2 cha Star Tv na Digitec cha ITV kimoja wapo kikiwahi kuingia sokoni hivi sasa kitauzika sana kuliko kingine kwa sababu market demand ipo juu sana. Startimes...
Wadau wa jukwaa hili salaam zenu wote,
Leo ni nane nane na wengine tumetembelea au tuna mpango wa kutembelea maonyesho mbali mbali ya wakulima. Kwenye banda moja mfanyabiashara/mkulima huyu...
Viwanda vinahitaji malighafi ya uhakika ili viweze kuzalisha kwa mwaka mzima. Vile vinavyotumia malighafi ya mazao ya kilimo na ufugaji vitahitaji ukulima na ufugaji wa kibiashara unaozingatia...
Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia.
Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
Habari zenu,
Nipo Dar es Salaam na nina misaada nataka kutoa kwa watoto yatima (na pampers labda kwa ajili ya hospitali?) ila sijui pa kwenda. Nahitaji kufahamu ni wapi ninapoweza kupata taarifa...
Habari za sahiz .ningependa kujua HV hii biashara ya cable TV IPO kihalali (tcra ) wameiifhinisha? Maana ninachoona ni kama wanawanyonya weny makampun ya ving'amuzi(Azam,zuku, nk) na kama IPO...
Habari wadau,
Nataka kujua kwa mtu mwenye ufahamu na biashara ya kuleta mifugo sokoni..i.e vinguguti.
Soko la wanyama kama ng'ombe au mbuzi kwa mzoefu anipe mchanganuo kuwasafirisha mpaka kuja...
Mkuu wa masuala ya Teknolojia na Ufundi Zantel, Larry Arthur (wa pili kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kisiwani Zanzibar hivi karibuni kuhusu uboreshwaji wa mtandao wa...
Wadau kuna suala napenda niliweke kwenu mnisaidie mawazo.
Kume kua kuna ongezeko la Kampuni Nyingi Duniani Kama si Tanzania kujiita " Group" yani kwa Mfano : Bakhresa Group of Companies , Virgin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.