Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Maxcom Africa ni kampuni iliyoanzishwa mnamo mwaka 2010 nchini Tanzania, Maarufu Kwa jina la maxmalipo. Kampuni hii imejikita katika kutoa huduma za ulipaji wa bili na tozo mbalimbali Kwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kujua kuhusu bei na vigezo wanavyo2mia ktk kufanya nao biashara.Pia kwa mwenye contact zao,anaweza kunipa.Nawasilisha!
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habar wapendwa naomba msaada juu ya zao la papai na gharama zake had yakue. Natashukuru nikipata majibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
hivi hawa TRA kila siku wanatangaza madeni ya wengine. Je, wenyewe wahadaiwi ? Kama wanadaiwa wanalipia wapi ? kama hawalipi kwa nn ?
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau. Juzi tarehe 17 mwezi huu wa name nilifanya muamala kupitia huduma ya vodacom Mpesa , sasa tangu iyo majuzi hela haikwenda nilikokusudia na kila nikiwapigia huduma kwa...
0 Reactions
5 Replies
981 Views
Habarin za wikendi wanajamvi, mi sio mtu wa kuposti sana thread ila leo nimeona niombe ushauri au wazo kutoka kwenu wadau. I mean nimesajili company na taratibu zote za kuisajili zimeshamalizika...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Link Sokofasta Sellers Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Please, Ninayo biashara ambayo watu wanaweza kuinunua online, ninahitaji kutengeneza app nzuri, ninawezeje kuuza vitu vyangu kwa kutumia simu yangu tu? Wenye uelewa, nipeni procedure na namna ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imechukua hatua kufufua shirika mama TTCL ; Kushindana na Makapuni mengine ya simu Chakushangaza katika market strategy ; uwa mtu anaingia sokoni kwa njia mbili 1. Cost 2. Unique of the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari ya wakati na muda kama huu ndugu zangu watanzania na East Afrika kwa ujumla. Nianze kwa kutoa pole kwa ndugu jamaa na rafiki wote walioko kwenye mfungo. Mwenyezi awajalie wepesi...
18 Reactions
76 Replies
17K Views
Wakuu, vipi kuhusu hii biashara kibongobongo? Prospects zake zikoje? Inalipa au bado haina nguvu sana? Naona watu wengi wanaiongelea ongelea.
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana ambaye nimemaliza kidato cha nne mwaka 2007. Nilibahatika kupata div 4 ya point 26 nilipata C tatu. Sikubahatika kuendelea advance nikaamua kujishughulisha na...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
nimekuwa mhanga sana katika suala la upangaji wa mishahara na madaraja yake, mfano TGOS,TGS, PSOS n.k watu tunaomba kazi serikalini kwa kuangalia madaraja yale lakini wengi hatuelewi ni kiasi gani...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
TUMEZOEA kuona wateja wakidaiwa na mara nyingi kuamini kwamba, kwa sababu mwenye duka ndiye anayemiliki bidhaa ziuzwazo, uwezekano wa kudaiwa na mteja haupo au ni kwa asilimia ndogo sana. Mtandao...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Wanajukwaa kheri? Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja...
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Habarini wandugu mimi na rafikiyangu wote ni watu wa information technology I.T tuna lengo lakuanzisha mobile application itakayo wawezesha watumiaji wa simu kutuma, kupokea na kutoa fedha bira...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naombeni muongozo nahitaji kufungua kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za kusindika na kiwanda cha sabuni za miche mwenye ufahamu au anayefanya ujasiriamali huu naomba anipe maelekezo, naanzaje...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish in the long-term, but neutral in the short-term (for price has been going sideways for about two...
3 Reactions
0 Replies
423 Views
Kwanza niwasalimu nyote mlio fungua uzi huu kwa heshima mliyo onesha kwani hamkujua nini nimeandika ila natunaini hamta jutia. Leo napenda tuangalie busara na maarifa yapatikanayo katika vitabu...
25 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom