Habari wakuu, naomba wenye ujuzi na uelewa katika maswala ya ujenzi na gharama za ujenzi wa nyumba mnisaidie makadilio ya gharama ya kujenga nyumba hii. Thank you in Advance.
Habari za mda huu wana JF, natumai mu wazima mnaendelea kuijenga Tanzania ya viwanda.
Mimi ni mjasiriamali mdogo ambae nimeamua kujiajiri kwa kutengeneza viatu vya ngozi, ni biashara ambayo nina...
Habari za majukumu wakuu
Kwa mwenye ufahamu au mtaalamu wa mikopo naomba kujua Kama inawezekana kutumia kiwanja kilicho pimwa kama dhamana ya kupata mkopo Benki kwa ajili ya mradi wa kilimo...
Wakuu habari?,
Nina ndoto za kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji lakini tatizo ni mtaji.
nimeamua kuweka angalau 10,000/= kila siku kwa miezi 6 ili niwe na mtaji wa kutimiza ndoto zangu,sasa basi...
Habari yenu wana Jf. Nimechukua nafasi hii ilikuongelea mashirika ya simu kujiingiza ktk biashara za kutoa fedha na kupoke kama ma Bank na vile yanavyo haribu uchumi wa Taifa letu. Unajuwa...
Nimeshuhudia mara kadhaa wahudumu wa hizi biashara ndogondogo, ambazo hufanywa na watu wengi, hususan akina mama - hufanya makosa ya kimahesabu sana hasa kwenye kurudisha chenji!
Leo asubuhi, kwa...
Salaam wakuu!
Jajajomills we want to make it simple and clear, sembe na dona safi, inatengenezwa na Jajojomills tu. Hizo zingine ni lazima uchekeche kabla ya kutumia, uchafu kibao!! yaani ni...
Wakuu,
Mwenye uzoefu na hizi Tritank (zinatengenezwa Arusha) za kuhifadhia maji tafadhali nijuze naona bei yake ipo chini kidogo ya Polytank na Simtank (za Dar).
Shukrani kwa ushirikiano katika...
habarini wandugu, nina tv yangu ya mchogo ilikuwa inaonesha rangi vizuri ila saivi inaonesha rangi ya blue iliyochanganyikana na nyeusi kiujumla inaboa kinoma noma, sasa juzi niliileta kwa fundi...
Habari zenu jamani, nilikua naomba kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kutuma mizigo kutoka Marekani kwenda Tanzania anipe mwongozo.Coz sielewi Tanzania posta wanatumia vigezo gani wanapo charge...
Habari zenuwana JF. naomba ushauri wa hili jambo
Nilifungua biashara stationary ndogo tu mwaka 2013. Halafu mwaka 2014 kutokana na biashara kutokuwa nzuri nikaifunga. kwa kutokujua kuwa biashara...
Barrick, AGA on defensive
By J. MWAMUNYANGE
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, November 29 2008 at 09:58
Two of Tanzania's largest mining companies have come out fighting over...
Kwa wadau wanaoishi Marekani..haswa wa Houston. Kuna tetesi kwamba Dr Tenende wa Houston na wenzake wachache wako mbioni kuandaa mkutano wa diaspora ya watanzania wanaoishi marekani. Cha...
Wakuu kuna kitu kimoja nimekiona kwa wafanyabiashara wengi wa Tanzania ambacho naona kama kinaendelea na kuzoeleka kwa wafanyabiashara wengi sina uhakika kama wako sahihi lakini kwa mtazamo wangu...
Habari wadau.
Natafuta mjasiriamali wa kushirikiana kupanga nae fremu kwenye hostel za wanachuo udsm na kufanya separation ya fremu space via aluminium na kila mtu akafanya biashara yake...
Habari wana jamii. Nahitaji taarifa au msaada wenu hasa wadau, wataalamu wa uchimbaji madini ya Dhahabu.
Mimi ni Mtanzania lakini naishi nje. katika mazungumzo na sifa mbali mbali za nchi yetu...
Hivi nasikia Tanzania hii kuna madini mengi sana jamani na biashara ya madini watu wanatengeneza pesa sana mm nataka maarifa juu ya madini haya yanayo patikana humu nchi
1. Greenganet
2...
Ndugu wana JF naomba kuuliza bei ya madini ya green amazonite na mtu mwenye kujua soko lake kwa hapa Tanzania. Ninaposema soko namaanisha ni wapi naweza kuuza au ni kina nani ambao wana"dili" na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.