Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair is bullish, though it only consolidated last week, moving between the support line at 1.1700 and the...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Isha wahi kukutokea una shamba au unafuga kuku au una Duka au una miliki basi la Usafiri au Mradi wowote ule. UKO UNAFUGA KUKU Unafuga kuku labda layers au Broiler na unawafanya kazi wawili au...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau mnasemaje maana najiuliza mzee wa Loliondo yukoje kipesa now au mmewasahau mauKiimwiii!!?
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Hii WTF nadhani siyo sahihi sana...!!!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Jf, Nina msichana wangu wa nyumbani ambaye kwa kweli amenisaidia sana kwa miaka 2 na nusu aliyokaa na mimi.pamoja na kazi zake kufanya vizuri lakini pia hana kiburi au tabia za kuchocha...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Tanzania Q1 growth slows to 5.7% - CNBC Africa Tanzanian growth slowed to 5.7 percent in the first quarter of this year, hurt by slower-than-expected performance of construction, transport...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa, Ndo kama Leo tulivotangaziwa na tulivoona Leo ulikuwa ni uzinduzi Wa mradi mkubwa Wa Bomba la mafuta toka Hoima Uganda mpaka Tanga Mimi kama mdau Wa sekta ya ujenzi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nawaza kupigia mishemishe na gar yangu lkn cjui wapi pakupigia kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
948 Views
Kama Ulisha wahi kutafuta taarifa kutoka google za biashara, Duka, Office lazima utaona majibu ya kile unachokitafuta yakiambatana ramani ya kile ulichokitafuta kutoka google. Wakati mwingine...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani naomba kujibiwa, eti ni benki gani nzuri kufungua account ya biashara? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwenye MAISHA bila kujali wewe ni MWEMA kiasi gani ni lazima kuna watu ambao hawatakupenda, bila kujali umefanikiwa kiasi gani lazima kuna watu WATACHUKIA mafanikio yako, bila kujali unafanya nini...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
anaandika zingo Mawazo ya HOFU ndani ya mtu hayana uhalisia na ni kitu cha muda tu, bali ni zao la TABIA za hofu tulizorithi au tulizolishwa kwenye jamii kupitia milango yako ya ufahamu na...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salaam Nipeni mchanganuo wa ujenzi wa nyumba yenye vyumba viwili na sebule chumba kimoja ni master Na vyoo vya nje Kwa hapa mwanza inaweza kucost sh ngapi?
1 Reactions
14 Replies
12K Views
Wana JF, Nina 50000 nafikiria nifungue akaunti bank hasa CRDB, sijajua kama inatosha na ni vigezo gani natakiwa kuwa navyo. Asanteni
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari, Mazingira yangu ya kazi ni kijijini nahitaji kujaza gesi ya lake pale Igunga mtungi wa kg 15 nauliza je bei ya sasa ya kujaza kg 15 ni bei gani. Nauliza nipate uhakika maana naagiza mtu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nahitaji ushauri binafsi kwa mtu mwenye uzoefu wa biashara ya kukopesha bidhaa mitaani. whatsapp namba yangu ni 0689631083.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wandugu naomba msaada MTU mwenye uzoefu na Biashara ya max malipo, faida zake zikoje na utaratibu Wa kujiunga? Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu habarii? Naomba kwa MTU yoyote ambaye anafahamu hii biashara ya kuchukua move kwenye mtandao kisha kubarn na kuziweka kwenye CD, au dvd, namaanisha biashara ya aliyokuwa anafanya lufufu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Ninayo good news ambayo napenda nikufikishie mtu wangu ambayo nimefikishiwa na Kampuni ya Mikono Speakers na wanapenda pia ikufikie. Ninazo Complimentary Tickets zaidi ya 500 ambazo zitakuwezesha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wale wataalamu wa mambo ya uchumi na ujasiriamali naomba kufahamishwa kuhusu Taratibu zinazotakiwa kufuata na kiasi cha mtaji wa fedha unaohitajika ili kuanzisha Microcredit Company hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom