Habari wanajamvi.
Mimi ni mjasiliamali, nina jihusisha na utengenezaji wa bidhaa za ngozi, hasa sandals aka viatu vya kimasai, mikanda, mabegi na bidhaa nyingine nyingi. hivi sasa nipo katik...
Helium is one of the most abundant elements in the universe, forming about 23 percent of all matter. It becomes a liquid at the lowest boiling point of any element. But because it is lighter than...
Huyo Ng'ombe ni moja ya Breed wanao toa maziwa mengi mno anatoa hadi lita 100 kwa siku.
Sasa kweli Tumeshindwa kumfanyia majaribioa Tanzania? make anaweza saidia kabisa kuondoa umasikini huko...
Ndugu wana Jf
Wachumi ningependa kufahamu nini athari ya dhamani ya dola ya marekani dhidi ya kushuka kwa riba za benk wanaokopa BoT Kutoka 12% hadi 9%, Kuna wengine tuna vidola vyetu ndani visije...
WAREHOUSE FOR RENT
(KILIMO WAREHOUSE)
Location;
Yombo vituka area,behind Tazara Railway station,Dar es salaam.
7.7 km from Dar es salaam harbour port
6.6 from Dar es salaam international airport...
Watu wengi wanaajiri kwa sababu tofauti, wengine kwakuwa wanapenda, wengine ajira ngumu , mazingira n.k
Kuna vijana wengi ambao wapo mitaani hawajui pakunzia , ila kikubwa safari ya kujiajiri...
Wakuu,
Nilianzisha biashara ya nguo lakini soko limekuwa gumu sana nilikuwa nachukua nguo K/koo napeleka mikoani hasahasa Morogoro ila biashara ni ngumu huko mzigo hautembei kabisa mauzo madogo...
Hali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. ukifanya maamuzi ya kuishi...
SIO KILA MTU ANASTAHILI KUSAIDIWA WENGINE WANATAKA WAKUSHUSHE CHINI.
Karibu msomaji!!
Ivi ulishawai kuona unafanya biashara yako vizuri na inaendelea vizuri kabisa na kukuingizia pesa.
Sasa...
Ndugu wana jamii forum,nngependa kujua kuhusu biashara ya unga wa mahindi nje ya mipaka ya Tanzania kama Kenya,Congo na Sudan. Naomba kujua legal basis,Market na profitability ya biashara hiyo...
Kama kichwa cha habari hapo juu, I want to start a business in Arusha so nahitaji sehemu ambayo ina watu wengi sana kama stendi. Biashara ninayoanziaha ni ya chakula.
Karibuni mwenye kujuana na...
HELLOW
Poleni wote wanaopenda mabadiliko chanya katika maisha yao ya sasa na ya baadae lakini pia wapenda mabadiliko katika maisha yao kwa mihangaiko ya siku nzima....
Humu duniani kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.