Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari JF members. Naomba msaada kwa yeyote anaefahamu kuhusu soko LA hisa, namna ya ufanyaji kazi na maelezo kuhusu hio. Hata kama kwa uchache nitashukuru. Karibuni sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KUNA MDAU AMENIAMBIA KUWA KODI YA MAGARI AMBAYO IMESAMEHEWA NA TRA NI KODI YA MAGARI MAPYA NA SIO YA ZAMANI YAAN WENYE MADENI YAPO PALE PALE JE WANA JF NAOMBENI KUJUZWA KODI IPI HASWA AMBAYO...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Licha ya uhakiki wa watumish kuendelea kila cku takriban benk nyingi zilisitisha mikopo kwa watumish. Ninachotaka kuuliza kutoka kwenu Je! Fursa ya mikopo kutoka benk za CRDB na NMB kwa watumishi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya bei ya mafuta kusuasua duniani Angola ambayo ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi Afrika, sasa imeamua kujitika katika kilimo cha ndizi ili kujipatia fedha za kigeni. Tutatazama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Duh kweli hii nchi inaliwa na wenye nchi katika hali isiyokuwa ya kawaida askari wasio na idadi walitanda airport nzima bila kujua nini kinaendelea kila ukipita askari na mtutu nikajiuliza mama...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
STORY HIGHLIGHTS The Dar es Salaam Port provides a gateway for 90% of Tanzanian trade and is also the access route to six landlocked countries including Malawi, Zambia, Burundi, Rwanda, and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa Jf naombeni mnisaidie nataka nianzishe jarida maalum la burudani na mziki. Wapi naweza kupata huduma ya gharama nafuu ya kuprint jarida hilo. Nategeme kutoa nakala 5000 awamu ya kwanza...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Wakuu nianze na salam Nina mtaji wangu wa tsh 7,000,000/= na eneo ninalokaa hakuna gym yoyote na watu wenye uhitaji wa gym ni wengi mno...ningependa nianzishe gym centre ila tatizo sina uzoefu...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Bei ni 17 million tuu, engine iko poa haijawah kuguswa, gari ilikuwa inafanyiwa service kwa wakati, rangi good mabadiliko kidogo tuu, Sihitaji dalali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guyz nmesikia et kuanzia jana tar 01 huwezi pata lesen ya biashara mpaka uwe na efd machine ambayo utaiperela tra tjen wakupe tin na vrn kisha uende ukachukulie lesen ya biashara halimashauri. Je...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kutembelea mtandao wa facebook,nimekutana na hii shauri,ameiandika MAKIRITA AMANI nikaona niilete hapa kuna kizazi kinaweza kunasuka kwenye lindi la aibu ya kuanza na ulicho nacho...
19 Reactions
21 Replies
5K Views
Wanajukwaa habari, nimekuwa nikijiuliza, hizi taasisi za serikali mbona ziko kimya sana, wakati.ndizo.zenye jukumu la kumlinda mlaji wa mikopo hii ya kwenye simu kutoka tigo na airtel ambao...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Wakuu naomba kujua wenye uzoefu na hii biashara ya printing ya vitu mbalimbali kama vikombe,nguo mbalimbali,mabango makubwa na madogo na vitu kama hivyo,naomba kujua kuhusu aina za printing...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Guys habari zenu. Nilifungua biashara mwakan juzi,ikawa inapiga kazi fresh;sasa mwaka huu mambo yameenda tofauti. Nimeamua niifunge biashara,TRA wananidai pesa ya kodi,nimewaambia wafunge then...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
JIUNGE NA BIASHARA YA MTANDAONI - NETWORK BUSINESS AMAZONE TRADERS Ndugu jamaa na Marafiki leo nimekulea Biashara nzuri na inayoweza Kukuza kipato Chako toka 100,000 HADI 1000,000 Kwa Mwezi...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
Hello! Naombeni msaada kujua vitu muhimu ambavyo unaweza kuuza kwenye mgahawa na vikakuletea faida na vinapendwa na watu ukiachilia mbali na wali,chai na maandazi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mayai fek mjini
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kampuni ya Voda sasa imeonekana kushindwa kuuza hisa zake katika soko la DSE, hii ni baada ya kuongeza muda wa mauzo ya awali kwa wiki 3, kisha kusogoze muda wa kuwekwa sokoni kwa karibia mwezi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This market did nothing significant last week, save the movement between the resistance line at 1.1250 and the support...
2 Reactions
2 Replies
628 Views
Back
Top Bottom