Wakuu poleni na majukumu;
Nahitaji kufahamu gharama ya mitambo ya kutengeneza chupa za maji na zile za kuchuja, na mambo mengine yanayohusiana na utengenezaji wa maji special. Nahitaji...
Natanguliza salamu kwa wakuu wote, kuna rafiki yangu ameniomba nimuulizie kwa wakubwa humu jamvini wanaofahamu bei ya bajaj ikiwa mpya kwa hapo Dar na hata kama ni mikoa ya jirani. Yeye anaihitaji...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair has been going upwards since June 27, and the bullishness has been maintained. Price also went upwards last...
Habari wanajukwaa, waliohudhuria hii kitu hapa chini tunaomba watupe updates kwani wengine tulikuwa mbali, je yapi yalifanyika?
TAARIFA KWA VIJANA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Habari,
Nina kiasi kama sh mil2 hivi, nilikua nina mpango wa kufanya biashara ya bodaboda lakini kuna rafiki yangu wa karibu tu ameniambia kwamba mama yake ana kiwanja anakiuza kipo maeneo ya...
Habari wanajamvi,
Nataka kuanzisha biashara ila sijui ni biashara gani maana mimi ni mwajiriwa na nataka hiyo biashara walau inihakikishie faida ya 5,000 mpaka 10,000 kwa siku. Mtaji wangu ni...
Nimeangalia,kutathimini na kujihusisha kwenye biashara mbalimbali, nimeona changamoto ya kila biashara ambayo nimekua nikiifanya,hivyo nataka kuangaza tena kwenye biashara ambazo zinaweza kufanywa...
Habari Zenu. Nina swali kuhusu biashara. Mfano mtu upo nchi kama China au India n.k alafu unataka uanze kabiashara kadogo cha kuuza vitu kama viatu huku Tanzania kwamba unanunua viatu huko china...
Inasikitisha sana pamoja na wito wa kuwekeza kwenye viwanda lakini bado kuna wilaya umeme unakatika zaidi ya siku 3 wakati mwingine hadi wiki 2 na hamna mteja anayejua nini kinaendelea na hamjali...
Wakuu naomba kujua kama akounti ya kawaida ya benki inaweza kuwa na uwezo wa kuwa na kiasi kama billioni na kuendelea..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Meneja wa Kitengo cha chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (katikati) akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa vitengo vya mawasiliano kutoka kampuni mbalimbali Afrika Mashariki...
Ndo mana namkumbuka Bikira wa KISUKUMA Kwa hizi Jumbe zake.
RIP Bro #RIPSeth
#Repost @bikira_wa_kisukuma .
Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM...
Habari mwanaJF natumaini umzima wa afya njema kabisa.
Leo napenda kuomba ushauri wako kuhusu biashara yangu niliyopanga kuianzisha hapo baadae, kiukweli wazo langu la biashara ni zuri sana ni...
Vijana weng husubiri mtaji au urithi kutoka kwa wazazi
Je kuna ulazima upate uo msaada ili kuanza maisha au..?
Maana wazee wa zaman wengi waliwapa watoto wao shamba au elimu kama urithi
Mzazi...
Salam wakuu
Baada ya kuvutiwa na bidhaa za aliexpress na mimi nikaagiza bidhaa moja hivi
Nimeagiza toka tarehe 27/6 mpaka leo tarehe 9/7 bado mzigo wanadai upo hongkong
Najaribu kutrack inagoma...
Habari zenu, nimefanya taratibu zote TRA sasa bado kurenew leseni yangu ya biashara ila nahisi nitakuwa mbali na manispaa husika sasa nauliza unaweza kumuagiza mtu akakuchukulie leseni ya biashara...
habari wakuu ningependa kujuzwa juu ya biashara ya kuandaa na kuprint magazine ya bure kila mwezi ya matangazo tu.changamoto zake na namna gani ya kuifanya upate kampuni za kutangaza,mtaji wake na...
Wakuu, ninataka kufanya biashara ya uvuvi baharini kwa kutumia boti. Nauliza mwenye ujuzi na hii biashara anijuze kuhusu aina za boti zinazotakiwa,ukubwa wa injini,kama petroli au dizeli ndiyo...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
The market was engaged in a bearish correction from Monday through Wednesday and then rallied on Thursday, to close on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.