Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna watu wanaamni ukisoma ndo unaweza anzisha ulicho somea. Elimu na Kuona furusa ni sawa na mbingu na nchi. Unaweza usisome na ukaanzisha hospitali mara baada ya kuona Furusa. Mengi hajasomea...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu naomba ushauri nimepata hela kidogo ambayo inatosha kununua boda moja au kulima hekari mbili za Viazi Njombe. Matarajio: Boda: kuwa napata 70'000 kwa wiki sawa na 280'000(12)=3'360'000 kwa...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
UOGA NA AIBU NDO MUHIMIL MKUU WA UMASIKINI NA UFUKARA. Leo hii mtaani wamejaa Graduates, Majumbani wamejaa Magraduate,Kazini watu wanafanya kazi huku wana nung'unika tu. Leo hii Wazazi/walezi...
21 Reactions
35 Replies
5K Views
Ikiwa unatafuta mtu atakayekufikisha kwenye mafanikio unayoyataka, tafadhali angalia kwenye kioo utamuona. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
700 Views
Habari zenu wadau. Naomba kuuliza, ivi km una deni la vat labda la mwezi january ambalo hukulipa, inawezekana kulilipa kidogo kidogo huku unaendelea na biashara? Sheria inazungumziaje kuhusu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ETII UNAJITETEA NA WEWE NI MNYONGE, Ooooh Etii Unajiambia Mimi Maskini!!!! UNAZINGUA UJUEEEEE!!!! ...Sikufichi ila Kama utakuchagua kuishi kimasikini utakuwa umezingua......ANZA kufuga kuku...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Hatimae jana katika pita pita zangu nilivyopitia kwa bwana Mangi si ndo nikaona karanga za ndugu yetu nikasema ngoja nione kinachopewa promo hivi kunani. Daaah kwa kweli ladha yake zile karanga...
6 Reactions
64 Replies
10K Views
Wakuu, hivi kuna utaratibu wowote wa kuanzisha ranch kisheria? Na vp vitu muhimu vinahitajika kwa ajili ya kuanzisha ranch binafsi, je kuna changamoto zozote katika huo mradi? Ushauri wenu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Saruji (cement) imepanda ghafla hadi kufikia 12,500 kwa mfuko wa kilo 50. Wiki 2 zilizopita, bei ya saruji ilikuwa 9700 kwa mfuko. Wafanyabiashara wamekuwa wakihusishwa kupanda kwa bei na...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Kichwa cha thread chahusika. Kazi: Kukaanga chips kavu, Chips Mayai, Chips Kuku, Chips Samaki na kutengeneza Kachumbari. Muda: Kuanzia saa 2 Asubuhi mpaka Saa 5 Usiku. Siku zote za wiki. Siku ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada: najaribu kununua kitu ebay kutoka uk kila ninapo click buy now napata jibu This item does not ship to Tanzania. mwenye kujua namna ya kutatua anielekeze
0 Reactions
1 Replies
2K Views
‘App’ hii imelenga kuwasaidia watumiaji wake kupata taarifa muhimu kuhusu hoteli, usafiri, sehemu za vivutio, klabu, kasino, maduka makubwa, ubalozi na hospitali. Dar es Salaam. Kampuni ya simu...
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Habari zenu wapendwa! Nataka nifungue stationary, sasa naomba ushauri wenu hasa wa vifaa na bei zake. Pamoja na faida zake. Asante ......
0 Reactions
6 Replies
3K Views
#OneCoin* OneCoin ni Cryptocurrency au Digital Currency. Ni fedha ambayo ipo kwenye mfumo wa digitali na si wa sarafu au noti inayoshikika. Ni fedha ambayo itatumika dunia nzima muda mfupi ujao...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
SERIKALI ZALENDO ILIPASWA IELEZE WATZ NAMNA IMEJIANDAA KUJITOA KTK MASHIRIKA KANDAMIZI KAMA IMF (International Monetary Fund) Ambao wamekuwa wakiendesha sera na uchumi wetu ktk njia ya kunufaisha...
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Ubinasifishaji hauko kwenye Madin tu bali hata kwa sisi. Kama una muda na hauna kazi nao unapo fanya kazi kwa mwingine maana yake umembinasifishia muda wako. Hivyo ukiajiriwa maana yake wewe huna...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahani ninaomba kuuliza kama PayPal hairuhusu mtu wa Tanzania kutoa pesa katika account ya PayPal nitatumia njia ipi ili nijipatie kipato kama nahitaji kuwa blogger au kutumia njia nyingine ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Raisi Magufuli ametoa kauli kwamba piga ua VAT kwenye utalii itakuwapo. Kaenda mbali kwa kusema ni afadhali kuwa na watalii wachache wenye kulipa VAT kuliko wengi wasiolipa VAT! Namheshimu sana...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, ni Mtanzania nnae ishi nchini ufaransa. Nimebahatika kupata shillingi mil 50 za kitanzania na nahitaji kuwekeza nchini Tanzania. Je...
5 Reactions
353 Replies
50K Views
Napenda kuwashirikisha ndg zangu juu ya mpango wangu wa kufungua kiwanda cha maji ya kunywa.nataka kufahamu juu mahitaji ya na vifaa muhimu kwa wale wote amabao wanafahamu najuu ya soko.kuhusu...
3 Reactions
9 Replies
10K Views
Back
Top Bottom