Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kujipima maendeleo kupitia wengine inaweza kukudumaza ukarelax hasa pale unapohisi unafanya cha maana kwakuwa tu kuna watu umewazidi, usichofahamu hata kama umewazidi watu kwa maana ya kushindwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavosema location nzuri ipo kwa ajili ya kufungua maabara ya kupimia watu malaria, UTI, typhoid n.k eneo hilo kuna dispensary moja lakin wananchi wote hawana imani nayo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Babu wa Loliondo kwangu atabakia kama mtu alie kuwa na akili ya kipekee kabisa. Babu alikaa akawaza sana akaona asije kufa masikini. Babu hakutaka afe masikini kama wengine akaonelea aje na Idea...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari zenu, Ni matumaini yangu ni wazima wa afya njema, kimya kingi ni kutokana na majukumu tu. Nilikuwa na safari ya kuelekea Singida kikazi, mwezi huu. Hivyo basi, wale wazoefu wa huko wanipe...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish On EURUSD, bull was the clear winner last week. Price went upwards by 210 pips, breaking the multi-month high at 1.1600...
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Habari za leo ndugu zangu wa jamii forums, nina changamoto inayonikabili kuhusu matumizi ya PayPal. Kuna mzigo wa thamani kubwa kidogo nataka kuagiza toka Thailand na muuzaji amependekeza nilipe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
#USIISHIE_NJIANI Habari Rafiki Yangu, Leo ni siku nyingine mpya kabisa ambayo unatakiwa uende ukaitumie vyema ili kufikia mafanikio kwenye kile ulichoamua kukifanyia kazi. Usikubali kuipoteza...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama kuna mtu kila anachosema au anachotaka unaitika ndio, bila kuangalia kipo kwenye utaratibu au hakipo, kitaathiri ratiba zako au maisha yako au lah. Huyo mtu ameyadhibiti maisha yako. Kama...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Aisee watanzania sisi tuna matatizo, nadhani ndo maana tuna sua sua kwenye biashara. Baada ya kuangaika sana na mshikaji kutoka US kutafuta gari mitandaoni (shida haswa ni kuwa gari hazina details...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Natanguriza samahani kwa wale wasiopenda/kutumia kitimoto, WanaJF mimi nataka kuanza mradi wa kufuga kitimoto angalau minimum start wawe 30, ni vitu gani winaitajika tofauti na mtaji mana ninao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam kwenu! Naomba msaada kwa wataalamu wa masuala ya kodi, nimejaribu kutafakari kuhusiana na Mawakala wa mitandao ya simu kulipa kodi ya makadirio (presumptive tax) ya mwaka, Ninafahamu kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Njia za Moto (Firebreak/lines) ni nafasi iliyopo kati ya uoto au vitu vinavyoweza kuwaka/kushika moto na inayoweza kuzuia au kupunguza uwezekano wa Moto kushika au kuwaka. Njia za moto hutumika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cocacola au peps hawa jamaa wana Model yao wanayo itumia nitaelezea kwa Tanzania. Hawa wanatafuta sarafu pekeee kwenye mauzo yao hawatafuti noti za msimbazi. TANZANIA KWANZA TUNA PESA...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
INTRODUCTION: Hello Traders. The article below is useful for all areas of human endeavors (including trading). Please read it to discover a great secret today. Read between the lines and see how...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Imepita miaka kadhaa tangu Graduate huyu kule Zimbabwe aamue kuandamana kupeleka ujumbe kwa Serikali yao kuhusu Ajiri. Jamaa alikuwa ni machinga kweli ila aliamua kuvaa Joho kabisa. Hii picha...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Wahindi ni moja kati ya jamii zenye kiwango kikubwa cha Entreprenership spirt. Wengine ni kama Waisraeli ambao ndo wenye kiwango kikubwa kabisa cha spirt. TUWAANGALIE WAHINDI WA HUKU BONGO...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Maendeleo Bank pamoja na wewe. Bank ya Maendeleo leo imezindua promosheni iitwayo Maendeleo pamoja na wewe. Akizungumza kwenye hafla hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahim Mwangalaba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu bado nafanya utafiti wa kufungua kiwanda cha alizeti naomba wenye uzoefu na hii biashara waendelee kunisaidia. Sehemu ambazo nahitaji kujua zaidi 1 gunia moja ya debe sita mashudu ni kiasi...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Mimi nina fremu nakodisha CD naomba mawazo yenu, je kama nataka kusajili kampuni yangu BRELA nitaisajili vipi, Na je ni faida zipi ofisi yangu itapata kwa kuisajili kampuni yangu BRELA? Asanteni...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu za habari zenu kwanza, twende kwenye topic Nimekua nikifikilia sana kuhusu hili swala na Nina mpango wa kulifanyia research hapo baadae japokuwa kwa akili ya kawaida mtu anaweza akaona ni...
0 Reactions
7 Replies
952 Views
Back
Top Bottom