Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Bilionea Adolf Merckle mmiliki wa kampuni ya HeidelbergCement inayomiliki asilimia zaidi ya 60 kampuni ya Twiga cement ya Tanzania amejiua jumatatu tarehe 5 jan 2009 kwa kujigongesha kwenye treni...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Wanajamii. visit google search for boeing 787 images and see how people are creative. *********************************************** Boeing 787 Dreamliner Will Provide New Solutions for...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kuna tetesi kuwa ile Kampuni ya DECI (T) ltd imenyimwa kibali na Central Bank (BOT) cha kuanzisha Scheme nyingine inayoitwa Elimika Scheme inayohitaji mwanachama kutoa Sh milion tano upate sh...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
people from the area could not speak English. “Do we need a foreigner to do work such as housekeeping or gardening Tanzania Standard Newspapers|Home 1. Jamani hata kazi kutandika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira Dk Batilda Burian, alisema kuwa serikali ipo mbioni kukataza matumizi ya mifuko ya plastiki endapo wafanyabiashara na watengenezaji wa mifuko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati Mheshimiwa Mkapa anamaliza uongozi wake alikiri kuwa eneo mojawapo ambalo halikupewa umuhimu katika uongozi wake ni KILIMO. Kutokana na jinsi Mheshimiwa Raisi Kikwete alivyoanza katika kasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dotto Bulendu anaandika fb page Moja ya madhaifu makubwa tuliyonayo Tanzania hasa kwenye sekta ya utalii ni namna ya kufanya "Branding Compaign" ya nchi yetu ama vivutio vyetu vya utalii. Kwa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu. Katika pita pita zangu mtaani nmegundua wafanya biashara wengi wanatumia ''mzizi'' katika kuendesha biashara zao. Kitu ambacho kimenishangaza sana ni kuona hata wale...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Hivi karibuni kumekuwa na mfululizo wa mabenki kuibiwa fedha na wafanyakazi wake. Mara chache matukio haya yamekuwa yanaripotia. Mabenki huyafanya taarifa hizi kuwa siri ili kutoondoa imani kwa...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta kuliko zote duniani "Venezuela" inakabiliwa na mkwamo kutokana sera mbovu za uchumi. Thamani ya fedha imeporomoka na hifadhi ya fedha za kigeni ni ndogo sana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Southampton. Watafiti wa chuo kikuu cha Southampton wamesema watampa pauni 3,526( sawa na sh10.3 millioni) mtu yeyote atakayejitokeza aweze kuambukizwa kikohozi ili kusaidia uvumbuzi wa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Asalaam wakuu Ktk ile ofa yangu wengi wamenijia inbox na kupendekeza jina liwe bashite. Sasa nimeogopa kutengeneza bango maana hilo jina mmmh! Halitakuwa na shida kweli? Lisije kuniletea shida...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wapendwa, nina miaka miwili sasa nikijishugulisha na kilimo kama biashara, na kinanilipa kiasi chake.nimepanga kuisajiri biashara yangu, kuwa inajihusisha na kilimo na ufugaji wa kuku ingawa kuku...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Helo JF katika sekta ya kilimo mwaka huu wakulima wengi hawakupata mazao jambo ambalo linawakatisha tamaa wengi wao.n Nililima ekari tano mwaka huu na matarajio yangu katika kila ekari itoe...
1 Reactions
30 Replies
21K Views
This is what I think on how we can move forward! Introduce methods of farming that are different from digging a hole in the ground and cover it up with soil. Make agriculture a science. To farm...
1 Reactions
0 Replies
866 Views
Mradi wa Bomba la mafuta kutoka Uganda- Tanzania, Tanga unaweza kwenda sambamba na Mradi wa maji safi kutoka mto Kagera. Kwa kufanya hivi tutapata unafuu wa gharama za Mradi wa maji safi na ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiriamali ,ni mwenyeshule iliyosajiliwa .Nilikua natoa darasa la saba la Mara ya pili kisanga cha kuundiwa kesi ya uhamiaji kikanifika Mungu bariki nilijitetea na kupewa haki yangu ya...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Anaandika Emali. Kidegeye666@gmail.com Whasp0769035335 ============================ MTAMBUE STANELY MEYER MTU ALIYE TENENEZA GARI LINALOTUMIA MAJI,AKAZAWADIWA KIFO. Alizaliwa 1940.Walizaliwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana, Mimi ni binti niliyeolewa mwaka huu. Awali nilikuwa nafanya kazi kwenye moja ya NGO hapa jijini Dar mpaka pale tulipopunguzwa kazini kutokana na hali ya uchumi wa kampuni...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
kushirikishana sio vibaya, toka nimeajiliwa huu mwaka wa nane sasa, sijawahi pandishwa dalaja.nina mradi wa kuku na biashara nyingine ndogondogo tatu, nikijumlisha mapato yake ni mara mbili ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…