Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana
Msaada wenu wakuu...
Shukurani
Naomba kuulizwa wapendwa
Kumekuwa na tabia ya wafanya biashara wa maduka kuwakimbia maofisa wa TRA au wakisikia wapo jirani wanafunga maduka yao
Je nn kinafanya wakimbie?
Au kuna unyonyaji...
Kufuatia mapinduzi makubwa ya kitechnolojia, uhitaji wa matumizi ya nishati ya mafuta (petroleum) unakaribia kufika ukomo.
Makampuni makubwa ya marekani yanayofanya biashara ya kutafiti...
Ngoja Niweke Kumbukumbu Sawa Juu ya Wizi Uliofanywa na Acacia.
Kuna Mijadala,Matamko na Maandiko Mbali Mbali kutoka kwa Wananchi Wenzetu wa Tanzania Ususani kwa Viongozi na Wafuasi Wa Vyama vya...
Habari zenu wakuu
Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane...
Jaman kuna jambo tunapaswa kulitambua kuhusu maisha
usiku syo muda wa kufanya mapenzi ni mda wa kufikilia kupata pesa kusudi ukiamka hasubui njia uzifanyie kazi
ila sisi wabongo hatujui hilo...
Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa na vivutio vingi sana vya utalii hapa duniani.
Kwa utafiti uliofanywa kuna vivutio vingi sana hapa Tanzania lakini bado hatupata mwanya wa kujitangaza...
Wakuu,naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe,nipo Mwanza,je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu,nimejaribu kwa...
Ndugu habari ya asubuhi,
naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye...
Tozo hii ilikuwa inatozwa na bandari kwa kiwango cha 1.6% ya thamani ya mzigo kwa mizigo ya nchini na 1.25% kwa mizigo ipitilizayo (transit). Kwa sasa tozo hii inatozwa na TRA. Hoja yangu ni kuwa...
ndugu zang JF,
Naomba nipate malezo juu ya mambo haya:
1.maana ya fixed account
2.faida zake ni zipi ?
3.je hiyo faida hupatikanaje ?
kwa mifano itakua poa zaidi.
Misingi Mitano(5) Muhimu Ya Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali na Biashara.
Katika ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa ngumu na shida kupatikana, ujasiriamali na biashara vimekuwa ndio...
Njombe — Serious agricultural investments through the Public-Private Partnerships (PPPs) are a panacea towards industrialisation of the country and building a middle-sized economy.
Njombe...
Kwa Wale wote wanaopenda kuWa mamilionea
Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.