Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu Natumai wazima naweza kua wakala na nini risk yake na Faida yake na mtaji inabidi uanze na kiasi gani cha pesa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada ni Bank gani naweza kufungua account na kupata Visa au Master Card siku hiyo hiyo maana na uhitaji nayo mapema sana Msaada wenu wakuu... Shukurani
3 Reactions
90 Replies
13K Views
Naomba kuulizwa wapendwa Kumekuwa na tabia ya wafanya biashara wa maduka kuwakimbia maofisa wa TRA au wakisikia wapo jirani wanafunga maduka yao Je nn kinafanya wakimbie? Au kuna unyonyaji...
0 Reactions
6 Replies
957 Views
Kufuatia mapinduzi makubwa ya kitechnolojia, uhitaji wa matumizi ya nishati ya mafuta (petroleum) unakaribia kufika ukomo. Makampuni makubwa ya marekani yanayofanya biashara ya kutafiti...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ngoja Niweke Kumbukumbu Sawa Juu ya Wizi Uliofanywa na Acacia. Kuna Mijadala,Matamko na Maandiko Mbali Mbali kutoka kwa Wananchi Wenzetu wa Tanzania Ususani kwa Viongozi na Wafuasi Wa Vyama vya...
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Habari zenu wakuu Nina shamba la mpunga morogoro vijijini nategemea kuanza kuvuna wiki mbili zijazo. Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Morogoro naomba tuwasiliane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vipi kwa biashara ya usafirishaji abiria kwa hapa Tanzania? Italipa?
2 Reactions
32 Replies
9K Views
Jaman kuna jambo tunapaswa kulitambua kuhusu maisha usiku syo muda wa kufanya mapenzi ni mda wa kufikilia kupata pesa kusudi ukiamka hasubui njia uzifanyie kazi ila sisi wabongo hatujui hilo...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
1 US Dollar equals 2238.00 Tanzanian Shilling Jamani Dolla inapanda wala haishuki ama kweli juu kutam.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hivi sasa hivi standard bajet ya harusi ambayo si kubwa na modest ni kiasi gani? naomba mchakato tafadhali
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Tanzania ni moja ya nchi iliyobarikiwa na vivutio vingi sana vya utalii hapa duniani. Kwa utafiti uliofanywa kuna vivutio vingi sana hapa Tanzania lakini bado hatupata mwanya wa kujitangaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu,naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe,nipo Mwanza,je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu,nimejaribu kwa...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Ndugu habari ya asubuhi, naomba kujua kama jina la biashara lina linaimplication katika usajili wa jina la kampuni. Nilisajili jina la bashara sasa nataka kuanzisha kampuni. nimelogin kwenye...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tozo hii ilikuwa inatozwa na bandari kwa kiwango cha 1.6% ya thamani ya mzigo kwa mizigo ya nchini na 1.25% kwa mizigo ipitilizayo (transit). Kwa sasa tozo hii inatozwa na TRA. Hoja yangu ni kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu,nna shida ya 5m kuendeleza kamradi kangu,km kuna mtu anakopesha kwa riba niko tyr kutoa dhamana ya gari yangu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
ndugu zang JF, Naomba nipate malezo juu ya mambo haya: 1.maana ya fixed account 2.faida zake ni zipi ? 3.je hiyo faida hupatikanaje ? kwa mifano itakua poa zaidi.
0 Reactions
1 Replies
36K Views
Misingi Mitano(5) Muhimu Ya Kufanikiwa Kwenye Ujasiriamali na Biashara. Katika ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa ngumu na shida kupatikana, ujasiriamali na biashara vimekuwa ndio...
8 Reactions
8 Replies
9K Views
Njombe — Serious agricultural investments through the Public-Private Partnerships (PPPs) are a panacea towards industrialisation of the country and building a middle-sized economy. Njombe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa Wale wote wanaopenda kuWa mamilionea Tunapoongelea suala hili au neno mafanikio, kila mtu huwa ana maana yake kulingana na maana yake anayokuwa nayo kwa wakati wake na kwa eneo lake husika...
9 Reactions
10 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…