Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau napenda kujua wapi naweza kwenda kuuza hizi sarafu za mjerumani, na thamani yake ikoje
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wadau, Naomba mtu anayefahamu kiundani gharama za kuanzisha kituo cha Tv anifafanulie. kikubwa gharama za kununulia mitambo au jinsi ya kupata chanel kwenye vin'gamuzi ambavyo tayari vipo kama...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habar wana jf, Ningepend kufaamishwa iv ni benk gan hapa Tanzania, ina uhafueni katka kuhifadhi fedha, yan makato kidogo au km kuna isiyo na makato kabisa, naomb unifahamishe.. Nahtaj kufungua...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu wa nchi naombeni mwenye kujua ni kitu gani naweza kusafirisha kutoka Tanzania kwenda nchi za nje hasa Ulaya .USA.au bara la Asia .Msaada please.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair went upwards early last week, tested the resistance line at 1.0900 and then nosedived by almost 250 pips...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
Nisaidieni wakuu nataka nijue hapo... Mfano kuunganisha pay pal account, kulipia amazon, Alibaba etc ni bank gani nzuri naweza kutumia kufanya haya mambo
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Niliwaandikia email (sales@aluminiumafrica.com) hawa jamaa siku ya Ijumaa, 18 Januari 2013 nikitaka kujua bei ya Mabati ya "IT Maxcover" Gauge 28, kwa Mita moja ni kiasi gani? Lakini hadi leo hii...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habarini ndugu zangu,mimi ni mwanamke ninayejihusisha na biashara ndogo ndogo,natamani niwe na ofisi yangu nijiajiri lakini sasa sina fedha za kutosha naomba kwa mtanzania anayeweza kunisaidia...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Jana ilikuwa tarehe ya mwisho ya kuhakiki TIN na wilaya niliyopo watu walikuwa wengi sana. Je kuna mrejesho kuhusu muda kuongezwa? Kwani nini zoezi hili lisiwe endelevu kwani katika ofisi nyingiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, Nadhani humu tuna wataalam wengi tu wakiwemo watu wa TRA, kuna duka nataka kufungua la jumla na rejareja, sasa kwa wale wanaojua gharama za kupata leseni na mlolongo wake...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu sina kitambulisho cha mpiga kura nitufunguaje a/c equity bank?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Geologist Abdul ambaye kafanya kazi Migodi ya ACACIA, Bulyanhulu, North Mara ambaye kwa sasa yuko Afrika ya Kusini kama mtaalamu wa makampuni ya huko aliulizwa maswali kuhusu ukweli wa hii sakata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi wana JamiiForums, Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UTENGENEZAJI WA MISHUMAA YA KUUA MBU MALIGHAFI 1.PARAFFIN WAX 2.STERINE 3.BORIC ASID 4.MOULD(MAUMBO) 5.UZI (UTAMBI) 6.RANGI KAMA UKIPENDA 7.JIKO 8.SUFURIA MAANDALIZI andaa maumbo ya mshumaa kwa...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Can you be too stupid to trade and the answer is obviously yes. If you are defeated by how your toaster works then trading is not for you, nor is anything else probably. However, my observation...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Kenya budget focuses on developmentKenya's Finance minister Uhuru KenyattaBy Citizen Correspondent, Nairobi Kenya's Finance minister Uhuru Kenyatta yesterday proposes wide ranging measures that...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nafikiria kuanzisha fresh food, naomba anayeijua hii biashara anipe mchanganuo, Mtaji, faida na changamoto zake
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za humu? Ninaombeni kuuliza kwa mwenye uzoefu na kuagiza vitu kutoka Ulaya au Marekani: hivi kwa sasa kodi ni kiasi gani mfano nikiagiza camera? Na je ni kweli kwamba siku hizi hata ukija...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…