Wakuu, nikiwa mmojawapo kati ya wale wanaojihusisha na XBINARY kwa siku za karibuni imekuwa ngumu kutoa hela M-wallet. Na hii imetokea baada ya kuwa kwenye matengenezo ila hali hii imeendelea...
Habari za muda huu wana JF,
Mimi ni mwalimu wa shule za msingi, nimefanya kazi hii takribani miaka 7 sasa tangu 2009 hadi sasa. Pamoja na juhudi kubwa sana za kusaidia kizazi cha watanzania bado...
Maisha hayampangii mtu namna ya kujiendesha bali mtu anayapanga maisha yaendeje baada ya kukaa mda mrefu nimegundua nilikuwa mjinga sana nimechelewa mno kwa kutokuweza kuyatawala maisha lakini...
Ndugu wanaJF,
Nipo Spain kwa muda. Ni nchi nzuri na Kubwa ndani ya Ulaya. Watanzania wengi wanaijua sababu ya mchezo wa mpira, Real Madrid, Barcelona FC na kadhalika. Lakini watanzania...
Habari wana JF.
Katika pita pita zangu nimekutana na fursa za uwekezaji katika kilimo, nikaona nilete hapa ili kwa wale watakaoweza kuhudhuria kongamano hili waweze kutuwakilisha watanzania. Ni...
Wataalamu wa masuala ya fedha husema, " I - E = i
I = Income (uwekezaji)
E = expenditure ( matumizi)
i= investment (uwekezaji)
Kwa tafsiri lahisi ni kwamba kipato cha mtu kutoa matumizi yake...
AUS200
Dominant bias: Bullish
The market consolidated from March 3 to 27, and then moved upwards protractedly till the end of March. The bullishness in the market is still being preserved...
Nimeona matangazo mbalimbali yakichagiza wananchi tununue hisa kwenye DSE (Soko la hiza la Dsml) kwa sasa Voda ndio habari ya mjini.
Ukiangalia mauzo ya hisa yameshuka toka 33.3bn to 3.3bn...
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano kushoto pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Bw. Ibrahim Mwangalaba wakisaini makubaliano baina ya kampuni hizo mbili...
Niliwahi kusoma juu ya hujuma za shirika la ndege la Afrika kusini kwa air Tanzania na ilivyopelekea kulidumaza kwa kuuza ndege zilizokuwepo kama chakavu na kuimalisha za kwao katika ardhi yetu...
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo?
Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
Kuna makampuni ya kuuza na kusafirisha magari ambazo si maarufu kama zilivyo tradecarviews, beforward, sbt, autorec na zingine. Kampuni kama Japan Cars And Trucks Co., Ltd kwangu ni ngeni ila...
Wakuu, ningependa kupata kujua ni madini gani yanayouzika kwa haraka Dar kwa bei yenye tija. Ninauliza kwasababu jamaa yangu ana aina tofauti tofauti na ameniamini kwamba naweza kumsaidia kuuza...
Habari Wana JF, mimi napenda Sana na nina mpango wa kufanya biashara ya kuuza laptops soon. Tatizo ni kwamba sina details za kutosha Kuhusu biashara hii kuanzia uagizaji, kodi na faida Pamoja na...
Habarini,
Binafsi nina miliki biashara ambayo ipo very stable, ki ukweli nimetetereka kifedha nahitaji booster au fedha kiasi hata 1.5ml ingelitisha ili kuinyanyua na kupunguza baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.