Habarini wapendwa naomba kujua katika hizi siku kuu tajwa hapo juu mjasilia mali huwa anatumia njia gani kuuza bidhaa yake.Yaani awe na vigezo gani aingie ndani,asanten
ECONOMISTS wenzangu wa jukwaa letu pendwa la kiuchumi.
Habari zenu wakuu !
CBA ndio uchumi wenyewe..
Naomba tushirikiane kwa wale wenye ujuzi zaidi jinsi ya kufanya cost and benefit analysis...
Karibuni Sana one2 one focus company Ltd tunajenga nyumba kwa bei nafuu Sana na kununua viwanja na kuuza viwanja kwa bei nafuu Sana pia tunafanya renovation na finish za nyumba (contact...
Wakuu. Nakuleteeni umuhimu wa kumiliki hii Card ya payoner ambayo ukisajiri leo utatumiwa kadi yak ndani ya wiki 3 kupitia njia ya posta,then utaverify kwa kuweka upya namba za siri ,utaweza...
wakuuu habari,naomba msaada wa kuelekezwa wapi wanaburn CD ambazo zinzlakuwa na cover lake juu ya CD, pia nifahamu ni shilingi ngapi kwa CD moja, na wanauwezo wa kubarn CD ngapi kwa siku, msaada wadau
wakuu naomba mwenye Kujua machine ya kubarn/ print CD zenye cover juu, he naweza kupata wapi,na shilling ngapi,na na iana gani hiyo,napenda yenye uwezo wa kubarn CD mia moja kwa siku.msaada wadau
Habari zenu wakuu
Kuna mtu anauza kiwanja ambacho hakijapimwa maeneo ya Kigamboni eneo la muongozo - Shirikisho
Tatizo langu kubwa ni kwamba sina jinsi/namna ya kumjua muuzaji au mmiliki halali...
Wachumi mnisaidie tafadhari, eti kama uchumi unakuwa kwa 7% na mfumuko wa bei ni 7%, hii inamaana yeyote katika tafsiri za uchumi? #elimu #education #economics #
Benki ya Dunia yasifu ustahimilivu wa uchumi wa Tanzania
Benki ya Dunia imesema Tanzania inafanya vizuri katika sekta ya uchumi kuliko nchi nyingine jirani kama Kenya na Uganda kwa ukuaji imara...
Salaam,
Mahali ninapoishi/wilaya haina mahala pa kusafishia picha, inawalazimu kusafiri hadi mkoani kwenda kusafisha picha hizo.Kwangu nimeona kama ni fursa, nnafikiria kuingia kwenye biashara...
Habari wana JR mimi huwa najiuriza swala moja " nyerere alifunga migodi ya madini enzi zake na kusema tutasubili watanzania wapate elimu juu ya madini haya waje wachimbe wenyewe". je hadi sasa...
Speculation would first seem to be one of the easiest things on earth because you might think of making money by hitting bid and ask buttons for trading instruments of your choice. Hitting bid and...
Mwananchi limeandika jinsi treni itakavyoleta miujiza. Najiuliza, hivi miujiza ya mabasi ya mwendokasi ilishakuwa realised? Tuliaminishwa miujiza na mabasi, tuamini na treni? Ngoja tuwe na...
Wakongwe habari zenu
Nani anaweza nisaidia kupata database ya Makampuni pamoja na NGO s zote zilizopo Tanzania pamoja na contact zake Kama kuna link ambayo tunaweza kuingia na kukuta list ya...
Hii ni kuashiria hali ya uchumi ni mbaya au imekaaje kaaje hii
Ukipita maeneo kadhaa ya hapa mwanza town center mitaa ya Darajani utakuta matangazo ya kupangisha fremu za maduka miezi inakatika no...
Wakuu jana nilikuwa ktk pita pita zangu, ktk kijiji flani ngoro ngoro nikashtushwa na bei ya mahindi ambapo nilijaribu kuulizia bei ya debe moja nikaambiwa ni Tsh 28000.. kwa wastani wa sadolini...
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa nikiingiza bidhaa iliyotengenezwa South Africa nchini Tanzania nitalazimika kulipia ushuru? auliza hivyo nikizingatia kuwa South Africa ni nchi ndani ya SADCC...
Habari wana JF,
Naombeni kujua bei ya dhahabu kwa gram na mnunuzi anaenunua kwa bei nzuri.
Nipo Dsm
Nb: Dhahabu mbichi (sio mkufu, hereni au vito vya thamani)
Kwa mmujibu wa kikao cha management ya bank ya CRDB kilichofanyika jumatano tar 17 sept 2014. Kujaadili ufanisi wa huduma na utendaji kazi wa Bank hiyo kimeazimia kuzuia matumizi ya smartphone kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.