Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Vikwazo vya biashara vinatofautiana kwa kila mmoja mfano kuna mwingine fursa ya biashara anakuwa nayo ila shida ni mtaji wakati kuna mwingine mtaji anao wakutosha ila hajui auze nini ili kimtoe...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam JF Mimi ni kijana mtanzania graduate wa chuo kimojawapo hapa mchini. Pia ni mgeni kidogo humu JamiiForums hii ndio post yangu ya kwanza (Ingawa ni member wa muda kidogo) Nimekuwa na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kijana kama ulifeli form 4 na ukajihisi kuwa ndo mwisho wa malengo yako em usikate tamaa mshirikishe Mungu pia wajibika kwa utendaji wa shughul ndogondogo usidharau kazi kheri wewe uliyeingiza 100...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
namba kuuliza bei za mchele sokon hapa dar maana nataka ni kama tani 2 na madalali mtawapataje
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kumiliki bajaji Kumiliki pikipiki (boda boda) Kuanzisha blogu Kuanzisha gazeti la uchunguzi tu pekee Kuanzisha huduma ya chakula mama lishe Kumiliki daladala Kumiliki vikirikuu vya kubeba mizigo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habarini wandugu, Kwanza kiabisa nawapa pole kwa kuendelea kuisoma namba. Pili nataka kidogo nipitie hizi hisa\offering za Voda ambazo saizi ndo hot issue kn Tanzania investment. Hisa za voda kama...
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Wiki hii Mhe Magufuli amezindua mradi mkubwa wa ujenzi wa treni Dar- Moro, ambapo inasemekana 100% ya fedha zote zitakazotumika ni za ndani. Mradi huu utatumia takribani trilioni 2.7 (chanzo...
1 Reactions
2 Replies
974 Views
Habari za mchana wakuu..kuna kipande cha eneo tunataka kuuza kiko maeneo ya mbezi luis njia ya kuelekea goba ila tunataka kujua thaman ya eneo kwa mfano 20 kwa 30..
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimeona ni kwepe usumbufu anaejua nauli ya Moro to Njombe anipe taarifa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUJINASUA KIUCHUMI ILI KUJIONGEZEA MAPATO KWA KUTUMIA FURSA MBALIMBALI , JE MATAJIRI WANANUNUA NINI WANAPOPATA PESA? Vikorokoro vinaweza kukuongezea kipato Dhima (liabilities) ni njia nzuri ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
OCT042013 Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa. 1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion) 2. Mwanza(GDP-4.09 trilion) 3...
1 Reactions
91 Replies
117K Views
TRA njoni kariakoo mjionee wenyewe namna wafanyabiashara wanavyokuwa wasumbufu kutoa risiti kwa wateja wao. Unanunua bidhaa za 1 milioni wanatoa risiti ya ya laki mbili. Ukikomaa kudai risiti...
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Mimi nina swali, kwanini TRA lazima uwalipe kodi kabla ujaanza biashara? wanajuaje utapata faida kiasi gani ndani ya mwaka?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nipo na kamtaji kama ml 2 hivi nataka kuanzisha play station hapa town napoishi...kwa wenye uzoefu haka kabiashara kapoje wakuu upande Wa maslahi yake na changamoto zake...Asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu tumeona post nyingi zikiwahamasisha wafanya biashara wadogo na wakati kwenda nchi ya Thailand kufanya manunuzi ya badhaa zao. Wengi walijitokeza kuchangia na pia waliahidi soon watakwenda...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Nimekua nikisikia Mara kwa mara viongozi na hata watu wenyedhamana katika asasi kubwa za kiselikari na,w zisizo za kiselikali zikishauri kuwa vijana Tuunde vikundi ili tuweze kupata msaada wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wakuu! Naombeni mnifahamishe kuhusu kozi za majengo na kodi ya ardhi(land tax) Mfano: Mtu una nusu heka na kanyumba labda ka thamani ya 30 million na upo kwenye eleo la makazi ya watu...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Tembelea website yangu kusoma mengi www.telona.cf Biashara ndio chombo kikuu cha maendeleo duniani kote.Watu wengi wanalalamika kuhusu kutofanikiwa katika nyanja za biashara.Biashara ni elimu...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish EURUSD consolidated from Monday to Friday, save a faint rally that was witnessed on Wednesday. The bearish bias on the...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Kufuga ndege hawa kunahitaji kibali? Iwe kwa matumizi binafsi au biashara. Kama lazima nipate kibali, ninakiomba wapi?
0 Reactions
7 Replies
19K Views
Back
Top Bottom