Habari zenu Waheshimiwa wote,
Nilikuwa naomba muongozo wenu ktk hili,sisi ni vijana tupatao watano na biashara yetu ni kugema Ulimbo,tulikuwa tunasikia hizi tetesi kuhusu Saccos na tunataka kuwa...
SALAAM!. samahani wakuu kwa wanaojua jinsi ya kufungua paypal acount plz nina acount crdb na akiba sasa nataka kuopen pay pal acount ili niweze kununua bidhaa online thanx
Wakuu
Naombeni msaada, nataka nianzishe kampuni ndogo ambayo itakua inasambaza bidhaa flani
Mtaji wangu ni mdogo sana, je naweza kutumia chumba changu kama ofisi. Sina ela ya kukodi frem
Katika hatua ya uibuaji wa mradi (Project Plan), ni baadhi ya taarifa tu (facts and issues) hujulikana na zingine hazijulikani. Kutojulikana kwa taarifa hizi zingine (Unknown facts &issues/total...
Iko na extenal cd room yake ina ufa kwenye kioo haina ubovu wowote.aina ni asus.specification zake ziko hapo kwenye picha.ni Palmtop sio laptop.
Bei laki 2 tu.
Kuwait dinar ndiyo pesa yenye nguvu kuliko zote kwa sasa ambapo ukiwa nayo moja ni sawa na hii yetu(Tsh 5509)..ya pili ni Bahrain dinar ambayo moja ni sawa na TSH 4169..Ya tatu ni Oman rial ambayo...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair trended upwards last week, briefly went above the resistance line at 1.0750, and then retraced southwards...
Wakuu,nina shamba la familia la ekari 4 lenye hati ya kimila tuliyopewa 2010 mwezi wa saba.
Kulingana na hali ya kiuchumi ya sasa,ninataka niunganishe familia yangu yenye watu wazima 6 km kikundi...
Siku 100 za rais wa Ghana Nana Akufo Ado amefanikiwa kuimarisha uchumi alioukuta ukiyumba na kufanikiwa kudhibiti mfumuko wa bei kwa zaidi ya asilimia 12.
Pia Ameidhinisha kiasi cha dollar milion...
Habari,
Je, kadi za NMB zinaruhusu manunuzi ya mtandaoni kama amazon, aliexpress n,k?
Hii ni baada ya kuwauliza wao wakanijibu ndiyo.
Aliyewahi jamani jee ni kweli?
Biashara zinazidi kudorora, mabenki nayo yanaendeleza kupunguza wafanyakazi.
Gharama za uendeshaji zimekuwa adui wa maendeleo. Mazingira ya uchumi hayaruhusu kuendelea kama zamani.
Tuna wasomi...
Hebu wataalamu naomba mnielekeze kidogo juu ya hili, mbona kila siku tunasikia currency kubwa dunian sijui ni us dollar, mara pound mara euro mbona najaribu kuchek exchange rate ya Oman rial...
1. The persuit of happyness: Movie ya will smith, ni nzuri kuona jinsi jamaa anapambana na vikwazo.
2. There will be blood: Daniel Day-lewis, naipenda sana hii movie. Jamaa alikuwa anachimba na...
Jamani nilitaka nisahau salamu
Asalaam alykum !
Kuna MTU kakata tamaa ya maisha maana kila jambo analofanya haliendi na inafika kipindi anakosa hadi hela ya kula inamlazimu kuazima Pesa kutoka...
D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… D’Day as Tanzania Central Bank Releases Tsh. 500 Billion Into Circulation… | TZ Business News
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.