Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Last week, this pair opened with a massive gap-up, which also happened on other EUR pairs. Price managed to reach the...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Ndugu zangu, Mimi ni mfanyakazi katika moja ya Manispaa ya jiji la Dar-es-salaam, nilikopa katika benki ya Backleys mwaka 2009. Kwa makubaliano ya marejesho yatakuwa yakikatwa kutoka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
poleni na kazi za mchana kutwa, Mimi kama mfanya biashara/mjasiriamali mdogo nahitaji mkopo kwa ajili ya kukuzia biashara yangu kiasi cha kuanzia milioni 2 kuna mtu alinishauri niende NMB kisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba, (a) hakuna hela za rahisi (b) hakuna mafanikio wala utajiri wa chapchap. Ninachokijua ni kwamba ili upate hela, ili ufanikiwe ni lazima (1) ujifunze kwa bidii (2)...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO TAARIFA KWA UMMA WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UNUNUZI HISA ZA AWALI ZA VODACOM. Serikali imewataka watanzania kuchangamkia fursa ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu!!!? Naomba aliye na uzoefu anisaidie makadirio ya gharama inayoweza hitajika kujenga hiyo nyumba(Pichani) nchini hapa hasa Mkoani Mwanza
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha ! Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na...
12 Reactions
80 Replies
7K Views
Jamani nasikia nnsf wanakutana tarehe kumi na moja ili kujadili kuzuia mafao ya mwanachama hili limekaaje wakuu
0 Reactions
21 Replies
3K Views
It may seem a contradiction to say that you don’t want to pay attention to the profit of a trade. In fact, many of you might be saying that this guy must be smoking rope to say that profit is...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
0 Reactions
2 Replies
879 Views
*MAWAZO YANGU LEO* *VODACOM mnashawishi sana watu kununua hisa pasipo kuwapa elimu ya kutosha juu ya Faida na hasara ya kujiunga na biashara hii, ikumbukwe kuwa hii biashara ni mpya kwa watu...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Pause: Entrepreneurship should be taught as a subject in all schools across Africa. By far the biggest employer of people in Africa is what is generally called the "informal sector." I personally...
3 Reactions
2 Replies
696 Views
Nimeikuta hii picha ya ndege mpya Ingawa mimi sio mpandaji wa ndege, ila hakika mhe Magufuli tutamkumbuka. Picha inajieleza.
7 Reactions
60 Replies
6K Views
KWA MHESHIMIWA RAISI Mheshimiwa Rais pole kwa kazi, lakini naomba nichukue wakati wangu kuandika au kukueleza hiki ambacho sina uhakika kama kitakufikia au hakitakufikia. Lakini kwa imani na...
3 Reactions
1 Replies
829 Views
Naomba kufahamu zilipo ofisi za agency wa simu za bird kwa Dar es salaam.samahan kwa usumbufu wa kuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza, Shamba langu mihogo yenye urefu wa futi nne inanyauka na mvua zinanyesha. Ni ugonjwa gani huo?
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Habari wakuu, Huwa naona kwenye bured de change wanabadilisha dollar kwa thamani tofauti, yaani note moja ya dollar 100 ina thamani kuliko note moja ya dollar 1 kwa mfano; US $ CASH 50, 100...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada nataka kufungua akaunt ya kibiashara bank ya NMB au CRDB ni nini vinahitajika?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Tanzania mpyaaaa Chinese firms’ investment in Tanzania exceed USD6.62bn
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Huku pande za moshi unga kilo moja ni 2200, sukari kilo moja ni 3000 na mchele kilo moja ni shilling 2000 hebu tupia na wewe bei ya huko ulipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom