Ndugu wa JF, hususani wajasilia mali na wachumi naileta hoja yangu hiyo mbele kwa msaada wenu.
Nahitaji mkopo wa 1,000,000/= kabla ya Alhamisi ijayo.
Nipo tayari kwa riba ya hadi 10%-20% kwa...
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Wadau,
Hiki kitu nimekuwa nacho moyoni nadhani huu ni mwaka watatu sasa,
Kwa tuliowengi tunajua Malengo ya kuanzishwa kwa SOKOINE UNIVERSTY - MOROGORO ni nchi iwe na wataalamu wakutosha wa...
Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project.
Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair went sideways from Monday to Wednesday, and then started rising upwards on Thursday, in the context of an...
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.
Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI
Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini...
Habari wanawajasiriamali wanauchumi na wafanyabiashara wa jukwa hili pendwa na watu makini.
Je naweza kupata mtu ambae anakopesha kwa riba au au mwenye info zozote za upande wa hitaji hilo, kama...
IPO ya Vodacom Tanzania imeongezewa muda wa wiki tatu baada ya kushindwa kupata wanunuzi wa hisa hizo.
Watanzania sasa wana mpaka May 11 kununua hisa za Vodacom.
Vodacom Tanzania Gets Go Ahead...
Habari ndugu zangu,
Nimedhamiria kuanza biashara ya kuuza kisamvu kilichotwangwa naomba mwenye kujua jinsi ya kukitunza kisiharibike mapema anieleweshe.
Asante
Naomba kufahamu kuhusu huu uwekezaji...tafadhali,hivi 1 square metre ya ardhi ukiambia inauzwa shillingi 5000,inakuwa ina ukubwa gani? na katika kupimwa au kuongezewa inaongezeka vp? mfano mimi...
Habari wana JF wenzangu,
Mimi ni mjasiriamali takribani miaka kadhaa sasa, nafanya biashara ya stationaries na biashara zingine zinazolingana na hiyo hapo juu.
Lengo la kuandika Uzi huu ni...
Nimekuwa nikifatilia kwa miezi kadhaa dhamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani, nikagundua kuwa benk zina rate ambazo ni tofauti sana na rate za Bureau de change..
kwa mfano...
AUS200
Dominant bias: Bullish
This market is bullish as well as volatile. Price swung wildly upwards and downward in April, and it has started pulling back again this week (all in the context of...
Kuna watu wamenishangaza sana, wanakimbilia kuchukua mikopo benki ili wakanunue hisa. Najiuliza haya mawazo watu huwa wanayatoa wapi?
Wanayo tabia ya kujielimisha binafsi kabla ya kuchukua...
Wasalaaaaaaam Wanajamvi
Leo nimeona nifunguke kwa upande huu, kama “heading” yangu inavyosema ili kusaidia wanajamvi wenzangu kuondokana na hali hii ngumu ya kimaisha ambayo kwayo sisi watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.