Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Dunia tunayoishi imebadilika Sana,karibia kila kitu kinaendeshwa kidijitali ili kuendana na hali halisi ya mabadiliko ya kisayansi na tekinolojia.
Mwaka 2009 January, raia wa Japan Saitoshi...
Hapa hakuna Road license, sijui Bima na takataka nyingine, naiomba Serikali pia ituruhusu sisi wenye usafiri wa dizaini tuingie katikati ya Mji bila bugudha wa Ubaguzi.
Nini kinafanya bati za kiwanda kimoja kuwa na bei tofauti?
Wakati material ni yale yale,kiwanda hicho hicho na machine hizo hizo!
1.Gauge(unene wa bati)
Hiki ni kigezo kikubwa sana katika...
Habari wana JF,
Usiwe na wasiwasi kosa lolote ni kipato kwako.
1. 0 hadi miaka 20
Kuwa mwanafunzi mzuri shuleni na kama utakukuwa unafanya ujasiriamali jitahidi kujifunza uzoefu kidogokidogo na...
[https://i0]
SportPesa now in Tanzania...like the Facebook page sportpesa_tz
SportPesa, on Tuesday launched operations in Tanzania. The sports betting firm has had successful operations in Kenya...
Habari wanajamii,
Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba...
Habari,
Nahitaji kuanza kilimo cha uwagiliaji kwa maana ya bamia,pilipili na nyanya chungu.
Naomba mwenye uzoefu wa kilimo huko na urahisi wa kupata maeneo anijulishe.
Habari kwa beki kuu ya Tanzania (BoT) baada ya kusikia maamuzi ya kuifuta benki ya FBME baada ya kubainika kuwa ilikuwa ikijihusisha na Biashara ya kutakatisha Pesa haramu (kuingiza Pesa...
Heshima yenu wakuu,
Tafadhali kwa yeyote mwenye uzoefu na usafirishaji wa mazao ya chakula kutoka mikoani kwenda Dar mfano viazi au matunda matunda, kuhusu ushuru, vikwazo vikwazo njiani na nini...
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268
"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
*...
Habari wana JF.
Wakuu nimepata wazo la kuendesha shindano la mawazo ya biashara humu ndani. Wazo limekuja baada ya kuona wengi tuna mawazo ila hatuna mtaji. Hivyo mwenye wazo bora akiibuka...
Wakuu naomba ushauri ajira nataka nikajaribu kuomba dili kwenye yard za magari niwe natafta wateja kwa kupost picha na specifcation zake
....then nikpata mteja nampeleka wakipatana nakatiwa...
Ndugu zangu hii ndo mitaaji niliyo waza siku ya leo na nyie pia mtaongezea mingine na baadhi ya marekebisho kidogo ili tuwekane sawa ;
1. Mtaji wa kibinadamu. Huu ni mtaji wa kwanza...
Kuna biashara ya mtandaoni jamaa mmoja amenieleza kuwa imewatoa wengi. Biashara yenyewe ina itwa d9 clube trading. Kama kuna mtu anaifahamu naomba anifafanulie kama haina shida yeyote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.