Wakati hapa nyumbani viongozi wetu, wanafanya siasa za kitoto, kuchagua watu wasio na uwezo mkubwa kwenda bunge LA EA, China viongozi wamekuja na mradi mkubwa was biashara utakaounganisha nchi 65...
Naomba kwa mwenye uelewa wa wapi na kwa bei gani zao la Mwani linapatikana kwa hapa Tanzania,natanguliza
shukrani zangu kwa wanajamiiforum wenzangu ahsanteni.
je, unaifahamu supercomputer na faida zake kibiashara na uchumi? angalia video hii fupi kuhusiana na uwekezaji unaoweza kufanyika katika technology ya supercomputer kukuza uchumi na viwanda
Habari wadau wote jamvini. Radio mpya ya kisasa inategemewa kufunguliwa mkoani Tanga mwanzoni mwa 2015 hivyo tunaomba mawazo yenu kwenye jina la Radio. Tumeona ni vyema tukachanganya mawazo kwenye...
Kwanza niwape pole kwa kufungiwa utengenezaji wa kinywaji pendwa konyagi ndogo aka kiloba.
Toka kiloba kimefungiwa hali imekuwa ngumu kwa wadau ukizingatia life ilivyo bana.
Ushauri wangu ni...
Wasalaam
Wadau ninatafuta ushauri /mmbia wa kushirikiana tuanzishe day care maeneo ya Pugu.
Nina eneo lenye fence ya ukuta na jengo dogo. ...kuna maji umeme liko barabarani na daladala zinapita
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair is bullish in the medium-term, but neutral in the short-term. Price tested the support line at 1.0850, closing...
Habari wana bodi,
Unaruhusiwa kuuliza swali lolote linalohusu ujasiriamali na marketing/sales nawaahidi kuwajibu maswali yenu yote kama Mungu atakavyonijaalia. Pia hata kama wewe unaweza kujibu...
Wanabodi,
Tanzania kama nchi, tunakabiliwa na tatizo kubwa la Wafanyabiashra wa Tanzania, kushindwa kuingiza bidhaa zetu kwenye masoko ya kimataifa!, tatizo ni nini?!.
Mifano.
Tanzania ndiye...
Samaki wabichi jumla na rejareja wanauzwa unaletewa mpaka ulipo
Kilo moja:1kg(vipande vitatu vikubwa) 7 500
Kilo mbili:2kg(vipande vinne na nusu) 14,000
Kwa bei zetu za jumla ni rahisi...
Siku za karibuni tumepata taarifa mitandaoni na kutoka Benki Kuu ya Tanzania kuhusu kufutwa usajili benki ya kibiashara ya FBME.
Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME...
Leo biashara nyingi zimefungwa sababu walilazimishwa kulipa kodi walizokwepa hapo nyuma. Ni sawa! Lakini Madhara yake yamekuwa makubwa kwa Raia maskini, waliokuwa wanategemea vibarua kwenye...
Habari,
Nimekuja kwenye jukwaa hili nikiamini kuna wataalamu wa kutosha na wenye uzoefu na mambo ya uchumi, kwa sasa serikali yetu aitoi vibali kwa watanzania kuingiza mahindi/sukari ndani ya...
Kama unajenga sasa au unataka kujenga ni vizuri kuyajua haya:
1.Kabla hujajenga omba ushauri kwa wataalamu wa ujenzi(Mfano wakandarasi) ili kuepuka kujenga nyumba isio na ubora kuepuka hasara za...
Wasalaam ndugu zangu,
Leo katika pita pita zangu huku na huku kuangalia vichwa vya magazeti nimekutana na hii "Prof Mhongo kutia saini mkataba wa Tanzania kuuza mihogo China" kwenye gazeti lao...
When I first went to university the initial week was filled with the usual getting to know the lay of the land such as how the library works (in a surprisingly mysterious way I might add), where...
Habari wana Jf, kwanza nitangulize heshima kwenu wana jamvi.
Nimeuleta huu uzi kwenu kwasababu mpo active muda wote nina imani mtanisapoti.
Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza...
Kwa wenye uzoefu kwenye fani hii, naomba mnipatie makisio ya gharama za kufuga kuku wa nyama kama 500 hivi pamoja na breakdown ya Matumizi na faida. Niko tayari kulipia gharama kama kuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.