Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Elimu yangu ni Diploma (Clinical officer) nahitaji kufungua kitua changu binafsi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya. Napenda kujua kama sheria inaruhusu kuwa na kituo kama hicho kwa mtu wa level ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau mabib na mabwana naomben kwa yeyote mwenye kujua jinsi ya kutangaza biashara kupitia Facebook na watsap anijulishe.. Asanten sana
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wanajamvi habari, Mi nilikua mwajiriwa ila nimeeacha iyo kazi lengo langu kuu ni kujiajiri,Nina experience na biashara kwan nishawai Fanya nikiwa mkoa,ilikua depot ya bia na hardware, Lengo...
1 Reactions
0 Replies
594 Views
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima yenu wadau, Naomba ushauri wenu nina kampuni yangu nilifungua mwaka jana ila mambo yanakuwa magumu sana, ni kipi napaswa kufanya? Mpaka nimewaza kutafuta partiner ila sijui linakuwaje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nipende kuweka wazi kwa Uongozi wa CRDB ukiongozwa na Dr.Kimei kama gawio kwa hisa moja ni shillingi 10 kesho asubuhi nitaenda kwanza kuhamisha akaunti yangu CRDB na pia kuuza hisa zangu zote. Ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
send me a private message, kindly incase you are aggressive and need to make that extra coin
0 Reactions
0 Replies
624 Views
Wanajf ningependa tu tupie hapa ni fursa gan ya kibiashara au kiujasiriamali ambayo ina soko katika kipindi hiki cha Rais Magufuli. Lengo ni kushirikishana na kupeana ushauri. Nawasilisha.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeangalia muktadha wa nchi yetu kwa hali ya sasa,upungufu wa vyakula muhimu,kutokana na tabia nchi,mvua kuchelewa,wakulima kuchelewa kupanda na ukame ulioikumba nchi miez kadhaa nyuma,bei za...
0 Reactions
87 Replies
10K Views
Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
machine Nataka niwaoneshe material yanayotengeneza bati,inayoingizwa hapa kwetu ni coil ambayo ikipitishwa kwa mashine ndio inakata bati,kila mkunjo kila aina ya bati ina machine yake na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF naomba mnisaidie ili nifanikishe malengo yangu: Nina kiasi cha fedha kama million 4.5 sasa nahitaji nianzishe biashara yoyote ile itakayonipa faida sasa je 1: mambo gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mtu juzi kaniambia yeye haweki pesa yake bank za TZ sababu zina wizi saana Anadai bank zetu kama crdb na NMB zina charge pesa kila mwezi na wakati huo huo zina charge pesa kila unapotoa pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf, Ni msomaji wa muda mrefu wa jukwaa hili pendwa lkn sijawahi weka bandiko,. Leo naomba ushauri kutoka kwenu.Nina pesa kama 22m.Kiasi nimechukua Mkopo na kiasi kingine kutoka kwe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
The entry of a Tanzania-based miller into the local flour production industry is causing jitters among established milling companies and some cereal farmers. There are fears that the milling...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Hivi jamani kwanini sisi waafrica Sikh zote tuko chini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaaam Wakuuu Tafadhali Naomba Muongozo kwa wataalamu kabla sijachukuwa maamuzi Kuna line ya Tigo pesa inauzwa Mkoani Arusha Nilihitaji kuinunua ili Nije kufanyia kazi huku Dar es salaam...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naitwa Dalali Mtembezi tokea jijini Dar Salaam, natafuta muwekezaji au mnunuzi katika vitu vifuatavyo. Nina eneo la kutosha mjini posta karibu na Majani ya Chai ni Mali ya kampuni inahitajika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom