Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Bila shaka wajumbe wote mupo vizuri, Niwaombe wote tulio na taarifa mbalimbali juu ya taasisi sinazo jishughulisha na uwekezaji wa fedha taslim ili kupata faida baada ya muda maalum, Niombe...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba mwenye list ya 108 nuisance taxes zinazosemekana kuondolewa kwa kilimo atutundikie ukumbini. Thanks in advance.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huu ni uchunguzi rasmi ambao nimeufanya, unakuta mtu amepata milioni mbili akaanzisha duka LA vyakula 'rejareja' baada ya miezi 4 duka halina kitu ilihali lilikuwa limejaa na miezi inayofuata...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu nimekua nikifuatilia Mkopo ambao hausiani na Salaried worker ujitegemee kwa ajili ya Biashara sasa tatizo ni Kukaa Kwenye Kikundi Mimi Taangu nikiwa mdogo si mtu wa Makundi hata Kusoma...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Napenda kuipongeza kampuni ya SBL kwa kuanzisha serengeti light. Watanzania na wasio watanzania wamesubiri Sana kupata light beer yenye jina na asili ya kitanzania. Huo Ni ubunifu mzuri wa kibiashara.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Wakuu naomba kujua Bank au taasisi yeyote inayotoa mikopo yenye riba chini asilimia 20
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hi, Mimi naitwa Dr. Said Said na ni mkurugenzi wa kampuni ya Online Profits, kampuni inayowasaidia wajasiriamali kama wewe kuweza kunasa wateja kama smaku kupitia mtandao. Kama unabiashara na...
4 Reactions
50 Replies
10K Views
Nahitaji mkopo sana lakini mabenki mengi hayatoi mikopo toka mwanzoni mwa mwaka jana kutokana na vugu vugu la wafanyakazi hewa pengine na uchumu kuwa na msukosuko. Je kwa wale wahusika waliopo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nimeamua kuanzisha huduma ya Taxi kwa bei itakayoendana na UBER kwa kuangalia makadirio ya bei wanayoyatoa! Mfano kama unatokea Magomeni Kagera kwenda Coco Beach, itakugharimu 12,000/- tuu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair went upwards by 290 pips last week, putting greater emphasis on the recent bullish bias that has formed this...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Bila shaka wajumbe wote mupo vizuri, Niwaombe wote tulio na taarifa mbalimbali juu ya taasisi sinazo jishughulisha na uwekezaji wa fedha taslim ili kupata faida baada ya muda maalum, Niombe...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A: VANILLA- THE PLANT Vanilla is a vine. It roots in the surface of the soil and climbs up a support. It is a perennial plant, which will grow for many years and can become very long. It is a cash...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari za jioni mtanzania mwenzangu, poleni kwa majikumu. Kwa kuanza kabisa, inabidi tukumbushane kwamba benki za biashara ni vilainishi katika ukuaji wa uchumi duniani kote. Mfumo mbovu wa benki...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nina gari coaster 26 , nataka kuingiza barabarani. Naomba wazoefu nisaidieni nipeleke route IPI, ambayo nitaweza kufanya biashara. Nilikua na wazo la kuipeleka Mbezi-Mlandizi, Ila baada ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naombeni ushauri na uthibitisho kwa anayejua kama Wezesha Focus Vicoba wanatoa mikopo kweli. maana mimi nataka kuweka akiba na niombe mkopo WEZESHA FOCUS VICOBA
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu ,naomba kujulishwa ,nilikua nataka kuagiza gari kutoka japan lakini kwanza kabla ya yote nataka kujua ushuru wake ni kiasi gani ? Je wanahuduma hiyo katika website yao...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Huduma za usafiri wa majini Ziwa Victoria zinahitaji msukumo mpya ili kuleta ufanisi. Meli zako zinazoenda haraka zinaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye usafiri ziwa la Victoria kuliko ilivyo leo
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana nilikua nafuatilia mubashara hafla ya kutimiza miaka 50 ya uanzishwaji wa benki ya NBC, ukweli natoa pongezi za dhati kwa kufikia umri huo wa mtu mzima. Ushauri wangu ni kuendelea kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom