Wakuu kwa anayefahamu wapi naweza kupata mashine ya umeme ya kutengenezea mkaa mbadala (briquette making machine), maana nilienda pale ARTI Energy dar lakini zimeisha wanasema mpaka mwezi wa nane...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
This pair consolidated last week, moving between the resistance line at 1.1250 and the support line at 1.1150. The...
Wakuu habari za saivi,
Rejea mada tajwa hapo juu,
Nimekuwa nikifatilia mkopo wa bank kama mil.30 lakini nashangaa process ni nyingi sana kiasi ambacho imechukua karibia nusu mwezi (wiki mbili...
Gas discoveries in east Africa
Feb 7th 2013, 17:34 by V.R. | LONDON
IT HAS been an astonishing past year for gas discoveries in east Africa. Large finds off the coasts of Mozambique and...
Katika blogu ya jifunzeujasiriamali, mara nyingi nimekuwa nikiulizwa swali hili na wasomaji wengi wa mtandao huo wakitaka kujua ni mtaji au mahitaji kiasi gani yanayotosha kuanzisha biashara...
Mambo vipi,mwakajana mwezi wa kwanza nilianza kusikia leo.hii nimringia group moja nakuta kuna watu niliosoma nao wanaiongelea.Mwenye uelewa aje na ukweli hapa chini
Habari za sasa wakuu?
Mimi ni gradute, nahitaji sana na nazidi kutafuta mtu mwenye experience ya biashara ya madini nifanye kujitolea kwake kwa muda hata miezi sita hivi niweze pata ujuzi na mimi...
Wana bodi.
Ni siku kadhaa jpm alisema anataka kupitia upya mapato ya mitandao ya simu. vodacom iko kwenye soko la hisa na watu wanaendelea kununua hisa tena kwa kuhamasishwa na serikali...
Tumekaririshwa sheria inapatikana mahakamani na kwa wanasheria lakini ukiangalia kwa undani kila siku tunatimiza sheria na kanuni za maisha,chakula ,mazingira,kazi kila kitu lakini kwenye pesa kwa...
Salama wakubwa wa kazi....??
siku kadhaa zimepita tangu tusikie ile kauli ya "UKIWA NA VYEREHANI VINNE (4) ICHO NI KIWANDA KIDOGO"...mimi kama mtanzania nimevutiwa sanaaaa na statement ile na...
Profesa Benno Ndullu
Gavana
Beni kuu ya Tanzania
Sub: Huduma za Benki zitazamwe upya
Mh. Proffesa
Kwa niaba ya watumiaji wengi wa benki naomba kutoa dukuduku langu kufuatia matatizo mengi ya...
Habari ya Asubuhi wana jamvi,
kilimo ndo ajira nilijichagulia sasa nikiwa shambani nalima nimeokota iyo pesa hapo juu wadau nikiwauliza wanasema umasikini ndo nshauaga sasa sielewi naipeleka...
Lawrence Mafuru ambaye ni Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME akiongea katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuwa kumekuwa na mabadiliko ya msingi katika mfumo wa...
Wadau,
Nina mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ya mafuta(diesel). Ninahitaji kwa yeyote aliyeona fursa ya sehemu ambayo naweza kufunga mashine hii. Utakuwa vizuri kama itakuwa mkoa wa Pwani...
Tunaishi na watu tunaamini katika watu, kila mtu amefika alipo kwasababu ya uwepo wa watu wengine. Humu kwenye jukwaa naamini kuna watu wengi sana wenye fikra, mawazo, upeo, elimu, busara, ujuzi...
Nchi jirani ya Uganda, moja ya nchi , zinazolima zao la ndizi kwa wingi kabisa duniani utengeneza fedha za kigeni takribani dola za kimarekani milioni 20 kwa mwaka kupitia...
Serikali katika juhudi zake za kutengeneza mazingura ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 utakao endeshwa na mapanduzi ya viwanda yafutayo ni matunda to mention but few
Kiwanda cha kusindika...
Habari wanajamvi,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Nahitaji kufahamishwa ni njia gani ni sahihi zaidi kutangaza Brand yangu kati ya Radio Au Tv ili Brand yangu ili iweze kufahamika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.