Wadau mi naomba kutolewa japo format ya mahesabu ya mwaka yanayo enda tra..ili kukatwa kodo..na je ni vitabu gani tra wakija ofcn huwa wanavikagua...naombeni msàada
Anakaribishwa yeyote anayehitaji mlango / milango ya kupanga katika fremu zilizopo King'azi (Maramba Mawili uelekeo wa barabara ya kwenda Kinyerezi).
Fremu hizi zipo barabarani na ni eneo ambalo...
Habarini wana JF wenzangu,
Naombeni msaada
Nataka kuagiza vitu kutoka nje lakini vije kupitia ndege.
Je kuna yoyote anajua anifahamishe utaratibu?
Natanguliza shukrani
Asante
jamani Kwa upande wng naona kama awa jamaa wanakosea katika ukusanyaji wao wa kodi na kumkadilia mfanya biashara Kwa maana makadilio yako wamesha yapanga na kuuliza mauzo ya mlipa kodi ni kumtoa...
Habari wakuu,
Kutokana na ugumu wa maisha na ajira ndo hatuelewi kama zitakuja lini nilipata wazo la kuuza simu yangu pendwa Tecno W3 kwa laki moja na kuamua kufanya hivi;
Kama muonavyo hapo...
The problem of trading in uncertain times crept up on the Mentor Program Alumni forum and I have been thinking about my answer. The original answer I gave is shown below –
I think one of the...
Ndugu zangu wanajaii nimekuja kwenu kwa heshima zote kwa kuwa nyinyi ni wajuzi wa hili ninalotaka kuuliza ndugu zangu ipi fauda ya kuwa Na akaunti ya dola? Na je mtu mwenye kipato Kidogo Kama laki...
Wapambanaji wenzangu, naomba mnijuze kama BRELA wana tawi huku ili nifike mara moja nikafanye usajili. Kuna kipindi nilisikia wanafungua matawi mikoa mingine mbali na DSM, je kwa huku Arusha vip,wapo?
Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ki naweza kuwa chanzo cha kujipatia kipato kwa vijana, kwa kutumia matairi ya gari yaliyomaliza muda wake kwa kutengeza vitu vifuatavyo
Kwa...
BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesaini mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kwa ajili ya kuhamasisha na kuelimisha umma kuhusu masuala ya...
Matajiri wakubwa nchini ambao ni Rostam Azizi, Regnald Mengi, Mo na Bakhresa, katika kusoma historia ya maisha yao na jinsi walivyoanza kutajirika naelekea kuvutiwa zaidi na huyu Bakhresa ambaye...
Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji, na wengineo wote wataoina fursa hii, katika uwekezaji wa kati ambao unatarajiwa kuwa mkubwa sana kwa kipindi kifupi sana...
Nina ndugu yangu ana duka la rejareja kakosea risiti ya EFD badala ya 3,000 imetoka ya 3,000,000,000 (billioni 3!):D
Kwa anayejua utaratibu wa kusahihisha au kuripoti makosa naomba anisaidie...
Douglas Lake Acquires 100% Interest in 4 New Properties Bordering Canaco in the Handeni District
VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(Marketwire - Sept. 22, 2010)
Douglas Lake Minerals Inc. (the...
Wadau,
Mimi napenda kufahamishwa kuhusu hii biashara ya kucharge fedha mpani yaani kuuza fedha kwa watu wanaoingia border ya nchi nyingine kama Tanzania na Uganda.
Ni nini faida na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.