Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanau naomba maelezo ya kina ya kila kinachotakiwa ili kuanzisha kampuni ya ulinzi,nini kinatakiwa,mtaji ni kiasi gani na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri ya mufungua ofsi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu huwa sielewi neno hilo lina maana gani na huwa huwa inafanyajekazi
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari za kazi wadau,niende kwenye mada moja kwa moja, binafsi nawafuatilia sana clouds na semina FURSA since walipoanza mara ya kwanza, kiukweli naitambua na kuwapa heshima kubwa sana. Nitakuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu. Hongereni kwa kazi na majukumu ya kila siku, Moja ya shauku yangu ya siku nyingi sana ni kusafirisha samaki aina ya kambakochi kwenda China maana ndio soko na...
1 Reactions
47 Replies
18K Views
Habari zenu wana JF. Nahitaji kuagiza bidhaa nje ya nchi kupitia mitandao kama alibaba, aliexpress nk. Je kuna mtu anafahamu utaratibu wa huo mzigo kukufikia hapa nyumban Tanzania.? Na je kuna...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mkaa upo dodoma,zipo gunia 100,kila gunia ni sh 30000 tu, usafiri juu yako, kama upo tayari nicheck kwa number 0712288700
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Salamu,wadau naomba kuongeza elimu! Nimekuwa nikifuatilia kuhusu islamic banking. Naomba kuelewa zaidi kuhusu mkopo.Kwa mfano kama nafanya biashara ya duka la nguo ,nitapatiwaje mkopo wa biashara hii!
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nataka kuwa mjasiliamali mkubwa nataka nianze na product za urembo kwa anaejua anifundishe pliz Shampoo conditioner mafuta
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima jukwaani hapa, na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya uchambuzi wa tatizo katika mradi wa maendeleo ya kijamii...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss nin milion mojaa natakaa nimuagizee vitu hivii hp kwa sababuu sn ozoefuu navyo na wala sijuii aina ipii ni nzuri na hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair made some bullish attempt in the first few days of last week...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
Habari Wana JF, Katika website ya wizara ya viwanda na bishara, kuna kipengele ambacho huwa wanaweka taarifa za bei za mazao hasa ya vyakula. Hii huwa ni madhumuni ya kumsaidia mfanyabiashara...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa natafuta mkopo wa ata wa vikundi kuanzia laki 3 kuendelea ad laki saba
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bia ya balimi imeingia Moro kwa Mara ya kwanza bei yake inatofautiana toka sehemu moja hadi nyingine turiani 2000 na 1500 Moro mjini 1500 msamvu 1000 safari inapigwa bao taratiiiiibuuu
1 Reactions
2 Replies
2K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 22 “It never ceases to amaze me the impact that controlling your losses has on your performance.” – Chris Tate Name: Crispin Odey Date of...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Naomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanajamvi heshima kwenu, Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation. Natanguliza shukrani
0 Reactions
24 Replies
19K Views
Back
Top Bottom