Habari ya mapumziko wana jukwaa!!!
Hivi karibuni imezinduliwa kampuni mpya ya mawasiliano inayokwenda kwa jina la Halotel. Inakuja kumenyana kibiashara na kampuni kubwa na ambazo zimejiimarisha...
Nmepata milioni tano nataka nifanye biashara Bukoba na ndiyo mara yangu ya kwanza kwenda tafadhari kama unafahamu fursa na changamoto zilizopo nisaidie
Salaam wadau...
Ni muda mrefu nimekuwa nikiona wanafunzi wa elimu ya juu wakilalamika kuhusu pesa ya kujikim "boom" haitoshi. Pengine inatokana na matumizi makubwa na yasiyo na ulazima. Mara...
Habari wakuu.
Poleni kwa majukumu ya kitaifa na familia.Naomba kuelekezwa duka la chemicals za madini kwa hapa dar es salaam .Hasa natafuta 'activated carbon' kwa ajili ya ku-process dhahabu...
I have been using Payeer services for a while for deposit and withdrawal via my CRDB Mastercard. But they have stopped their services of withdrawing via Mastercard. Only option available is Wire...
Habari zenu wakuu,
Kama kichwa cha Habari kinavyosema,nahitaji kuanza biashara ya nafaka,mahari ni Dar es salaam Kigamboni hivyo nahitaji kuchukua fremu na pia kununua nafaka kwa bei ya jumla kwa...
Nataka kuagiza simu kupitia mtandao wa amazon na ninahitaji mzigo wangu niupokee kwa njia ya USPS, Tatizo sifahamu hii USPS inakuaje ila naona wengi wanasifia kua ni nzuri.
Naomba mnieleweshe...
Nimesikia benki ya Waislamu ya Amana inatoa mikopo bila riba, sasa faida wanapataje?
Fedha za kuendesha benki wanazitoa wapi, hii system ya benki inayofuata sharia inafanyaje kazi? Ukichukua...
Asalam alyykum hamujambo,
Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu
kwa jumla utaratibu vipi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA wameweka calculator iliyorahisishwa kwa ajili ya kukokotoa kodi kwa magari yaliyotumika yanayoagizwa kutoka Japan na nchi nyingine zinazouza magari yaliyotumika...
Natangulisha shukrani zangu kwenu.
Kuna gari tajwa hapo juu zinapatikana ni mpya kabisa, hivyo kwa Ambay atakuwa muhitaji naomba awasiliane na mim kupitia namba zangu 0659086861.
Ahsante.
Jamani kila siku tumekuwa tukitumia noti zetu katika shughuli mbalimbali ila watu wengi tumekuwa hatujui maana ya alama zilizopo kwenye hizi noti,basi kwa yoyote anayejua maana ya hivi alama...
Kumegunduliwa dhahabu katika mtaa wa Nyanza katika kijiji cha Ikumbayaga kilichopo kilomita 3 kutoka mjini Geita.
Mtaa huo wenye watu wapatao 1000 ghafla umekuwa na shamrashamra khasa baada ya...
Habarini wakuu.
Katika harakati za kujikomboa kiuchumi ninawaomba tujaribu kujuzana matumizi ya ndizi hasa zile za kupikwa.
Mbali na matumizi ya kawaida kama vile
1. Kupika
2. Kutengeneza mbege
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.