“BADALA ya kukaa nyumbani bila kazi tukisubiri waume zetu wahangaike na kutuletea, sasa tunaweza kujiajiri wenyewe kupitia kilimo cha uyoga,” ndivyo anavyoanza kueleza Sophia Chove, mwenyekiti wa...
Juzi waziri alituambia hapa Dangote kafunga kiwanda kwa sababu alitaka gas ya bureee na sisi kamwe hatumpi ng'oo
Lakini kumbe jamaa wakati huo huo analeta malori 600 na yeye yuko peace tu...
Sasa...
NAOMBA MNISAIDIE UFAFANUZI HUENDA LABDA SIELEWI HAYA MAMBO.NINA KIBIASHARA CHANGU NILIFUNGUA ILI NIWEZE KUJIKIMU NA NISIPIGE DEAL TENA SASA ZILE FRAME ZINA MGOGO BAINA YA WAMILIKI TUNAJUA NA HUA...
kila siku ninapotizama taarifa ya habari ITV. Katika habari za biashara na uchumi huwa naona wanaongelea kuhusu TAARIFA YA MIFUKO YA UTT AMIS. wana jf, naombeni mnieleweshe...
Kwa mimi nimeyatumia malengo hayo 17 na ku adopt baadh na nimederive innovative ideas for my 2017+ projects to start to implement. Lengo namba 9 ndiyo kipaombele kwakuwa nimechunguza fursa...
Habari!!
Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza.
Msaada...
Hii biashara nimeifanya Mara moja wakati huo niliuza kwa 20000 per kg..ila nahisi kuna soko zuri lenye bei nzuri hapa Tanzania au east Africa.
Naomba msaada wa yeyote anafahamu soko zuri la hizi...
Natafuta Location ya kufngua strip and Gentleman club in Dar!....
Kuna mtu ana idea ya any great location?... Nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu na zamani Sheraton hotel/ jumba la...
habari Jf? Nipo biharamulo-Kagera naomba msaada wa namna ya kuanzisha biashara ya vifaa vya shule na ofisini. Naomba kujua bei za photokopi mashine, scaner, laminator machine na komputa ya mezani...
Hello!
Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries.
Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure.
Mashine...
Nataka ufafanuzi kutoka kwa majuzi wa jambo hili kiundani, maana yupo ndugu yangu kaniambia kakopa 5.5M, kwa miaka minne , atarudisha 8.4M. Yaani riba ya 2.9M. Sasa najiuliza hii si kama 50%ya...
Habari,kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote.Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiriwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajiri website hapa tanzania naomba...
Zikiwa zimebaki siku chache tuumalize mwaka 2016 na tuuanze mwaka mpya 2017 kuna mengi natajia kufanya ili kuinua kipato.
1. Biashara ya KUPAMBA MAARUSI/KUMBI, hapa sina experience kabisa hivyo...
Kwa muda sasa nimekuwa nawaza biashara ya kufavya nikaona biashara ya dagaa inaweza kuwa nzuri kuchukua dagaa mwanza au bukoba unapereka congo na kule unaweza kuchukua vitenge na kuja nanyo huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.