Nianze kwa kutoa pongezi kwa wizara ya kilimo na uvuvi,na hasa tume ya maendeleo ya ushirika nchini,kitengo cha elimu,hakika sasa lipo jambo watumishi w idara hii nyeti ya serikali wanafanya, pili...
1. Kenya wameshaunda gari za Volkswagen polo, wataanza kutuuzia muda si mrefu. kwa uzoefu, magari ya kijerumani huwa garama kuliko magari ya kijapan.
2. sehemu kuliko na magari ya nchi za ulaya...
Habari wanajukwaa! Ni matumaini wote wazima.
Kwanza kabisa, siku za nyuma niliwah kupost juu ya chalks project na nilikuwa naulizia juu ya upatikanaji wa mashine, nashukuru nimempata mtengenezaj...
Habari xa asubuhi ba ndugu
Naombeni maujusi ya hii biashara kwa kutumia sim zetu hizi za kisasa
Maana naona kuna viapplication vipo vipo lkn sijavielewa
Na je vinamake faida kweli?
KANUNI ZA UJASIRIAMALI
Ni tabia gani unahitaji ili upate mafanikio katika biashara au shuguri yoyote unayofanya?
ili ufanikiwe katika shughuli au biashara unayofanya au unayotarajia kufanya ni...
Heshima kwenu wakuu.
Nimejaribu kuwekeza kwenye sekta ya usafirishaji kwa mda sasa yaani daladala . Ni shida kubwa sana kufanya hii kazi , ziko sababu kazaa kwa uzoefu wangu.
(1) Trafiki wana...
Salama wakuu?
Nina lengo la kuanzisha biashara ya m-pesa, tgo pesa, na huduma nyingine za aina hii.
Changamoto yangu kubwa ni kwamba sijajua eneo gani linafaa zaid kwa biashara hii hapa Dar.
Kama...
FAHAMU JINSI YA KUJISAJIRI NA HELPING HANDS INTERNATIONAL (h2i) AMBAYO NI FURSA MUHIMU KWA KUJIKWAMUA KIUCHUMI
HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2i)
Hii ni taasisi isiyo ya kiserikali imeanzishwa...
Moja la tatizo kubwa kwenye biashara na kilimo Tanzania ni usafiri ingekuwa vema serikali ingetoa kodi zote kwenye magari kazi kama malori na pickups. Hili litarahisisha watu kupeleka mbolea...
yani nataka ntafute kitu kama dell la maji barid hiv, na baadh ya vinywaji, yan kiwe kama kiosk flan hiv ambacho inaeza ikawa hata ni pemben ya barabara kama kuanzia tukikosa sehem ya frem
HATA...
Kafanikiwa kupata huo mkopo
Habari za mda huu!!
jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !!
nitarudisha after 3days!!
kwa yeyote alie serious PM
msaada Tafadhali
Shalom!
1. Awali ya yote nahitaji kufahamu kuhusu upimaji wa kiwanja Chenye ukubwa wa 250 *150 square meters kilichopo kijijini mkoani Mara wilaya ya butiama!
2. Gharama za upimaji wa kiwanja...
ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda...
Muheshimiwa kwanza nianze kukupongeza kwa Juhud zako tukufu za kulifufua shirika letu LA nndege hii inaonesha una nia ya dhati ya kutufikisha canaan.
Muheshiwa pia nimeona jitihada zako za kuvutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.