Wanau naomba maelezo ya kina ya kila kinachotakiwa ili kuanzisha kampuni ya ulinzi,nini kinatakiwa,mtaji ni kiasi gani na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri ya mufungua ofsi
Habari za kazi wadau,niende kwenye mada moja kwa moja, binafsi nawafuatilia sana clouds na semina FURSA since walipoanza mara ya kwanza, kiukweli naitambua na kuwapa heshima kubwa sana.
Nitakuwa...
Habari za asubuhi ndugu zangu.
Hongereni kwa kazi na majukumu ya kila siku, Moja ya shauku yangu ya siku nyingi sana ni kusafirisha samaki aina ya kambakochi kwenda China maana ndio soko na...
Habari zenu wana JF.
Nahitaji kuagiza bidhaa nje ya nchi kupitia mitandao kama alibaba, aliexpress nk.
Je kuna mtu anafahamu utaratibu wa huo mzigo kukufikia hapa nyumban Tanzania.?
Na je kuna...
Salamu,wadau naomba kuongeza elimu! Nimekuwa nikifuatilia kuhusu islamic banking. Naomba kuelewa zaidi kuhusu mkopo.Kwa mfano kama nafanya biashara ya duka la nguo ,nitapatiwaje mkopo wa biashara hii!
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss ninamilion mojaa kunavitu nataka nimuombe anisaidie kununua ukweli sifahamu bei yk kwa sasa na pia sijui ainaa ipii ni...
Ni matumaini yetu kwamba nyote mu-wazima jukwaani hapa, na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa.
Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya uchambuzi wa tatizo katika mradi wa maendeleo ya kijamii...
Msaada wana jf mm nipo njee ya dar es salaam ila na ndugu yangu yp dar ss nin milion mojaa natakaa nimuagizee vitu hivii hp kwa sababuu sn ozoefuu navyo na wala sijuii aina ipii ni nzuri na hata...
Habari Wana JF,
Katika website ya wizara ya viwanda na bishara, kuna kipengele ambacho huwa wanaweka taarifa za bei za mazao hasa ya vyakula. Hii huwa ni madhumuni ya kumsaidia mfanyabiashara...
Bia ya balimi imeingia Moro kwa Mara ya kwanza bei yake inatofautiana toka sehemu moja hadi nyingine turiani 2000 na 1500
Moro mjini 1500 msamvu 1000 safari inapigwa bao taratiiiiibuuu
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 22
“It never ceases to amaze me the impact that controlling your losses has on your performance.” – Chris Tate
Name: Crispin Odey
Date of...
Naomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani...
Wanajamvi heshima kwenu,
Ninaomba kwa yeyote mwenye kufaham bei ya CCTV camera pamoja na gharama nyinge kama zipo mfano gharama za instalation.
Natanguliza shukrani