Habari Wadau,Members na Non-Members of JF
Ni juzi kati tu nilitoka kuweka uzi wa kuomba ushauri au msaada wa kile nilichokieleza.
Baadhi walinishauri pale wengine wakaponda ombi langu...
Amani iwe nanyi!.
Nimepata nafasi ya kufanya uchambuzi wa wa taarifa za fedha (Statement of comprehensive income and statement of cash flows) za CRDB za robo ya tatu 2016 na kugundua sababu...
Sielewi kanuni inayotumika katika kukokotoa mafao yetu wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kama kuna watu humu hebu wanijuze, wako wanaosema wanatumia mshahara wako wa mwisho kukokotoa, wako...
Kutokana na ukuaji wa uchumi Tanzania, kumekuwa na ongezeko la ushindani kwa wafanya biashara wa maduka ya rejareja, hasa Dar es salaam,
Katika kukabiliana na ushindani huo, Mlimani city wameamua...
Ndugu wadau natarajia kuanza ujenzi wa Nyumba. Ombi kwenu je tofali za Inchi 5 zinafaa Kwa msingi na ukuta? Naomba ushauri wenu ikiwa pamoja na faida na madhara ya kutumia size hiyo pia...
Salama wakuu.
Miezi kama mitano nilikuja hapa na thread hii hapa chini.
Nimeamua nithubutu ingawa nina mtaji pungufu ya laki saba. Nawe waweza jaribu mahali unapoishi
Ingawa nimepata faida ya...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 21
“Trading shares many similarities with another past-time I enjoy: strategy games. I love playing chess, and I think trading and chess require...
Nimeona kwenye taarifa ya habari kuwa ni kinyume cha sheria kuwa na biashara isiyosajiliwa. Naomba kujuzwa na wanaojua huu utaratibu ulivyo.
Ni biashara ipi inayotakiwa kusajiliwa na nini faida...
Dear All,
Please i looking partinership for NGOs project.
The NGOs will provide food,shelter and clothes and their education every where.
for information please call me and send email ...
Nataka kujua bei ya embe, mimi nipo Kahama, Shinyanga. Tafadhali mnaojua bei kwa azam na kwingineko naomba mnijulishe.
Nina gunia zaidi ya 150 nataka niangue hivyo nataka kujua bei kwa kilo au...
Kwa wanunuzi wa mazao click link Soko la mazaoUZA NUNUA kujiunga katika group la what's app litakalo kuwezesha kuwafikia wakulima kirahisi na kupata mazao mbalimbali kama papai, kitunguu maji...
Habari,
Taarifa za fedha hasa za robo ya mwaka na za mwaka kwenye makampuni yaliyosajiriwa DSE zimekuwa zikichapishwa kwenye lugha ya kiingereza na kushindwa kufikia malengo ya Taarifa za fedha...
Najiuliza coca cola wanatumia bajeti ya kiasi gani kwa marangazo ya TV...?
watu wao wa matangazo strategies zao ni nini?
Hili tangazo la sasa naliona ni kila baada ya dakika chache tu...
je...
Habari Wanajukwaa
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo kikuu cha Dodoma(UDOM)
Natarajia kuhitimu masomo mwezi wa saba (July) mwaka huu.(2016).
Profesheno yangu ni Ualimu, tena ni Mwalimu...