Habari za kazi wana jamvi....
Nilikua na share na kampuni fulani ambayo ilisajiriwa brela na mimi nikiwa share holder na mmoja wa directors lakini mimi sikua owner wala founder wa hiyo kampuni...
Habarini za leo?
Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara. NIKO DSM. Nauhakika hapa ndiyo mahali pake. Yeyote mwenye utaalamu huu naomba anifahamishe ili nimpe details. Natanguliza...
Mimi ni mwanachuo katika mkoa wa dar,naweza fanya mishe gani huku nikiwa naendelea na masomo kwa kiasi hicho cha fedha .
naombeni mawazo yenu wanajukwaa
Ninahitaji kampuni inayo fanya shughuli ya utafiti na uchimbaji maji.
Kazi zinazo takiwa kufanyika:
1. Kufanya survey na kushauri,
2. Kuchimba Kisima.
Asante. Josam
Hallow ... hope wote mko poa.
Kuna mahali nilikwenda kutembelea nikapata fursa ya KILIMO tena ni kizur sana pia nilifanya utafiti wa maji yapo pia ardhi inarutuba ya kutosha ila hela ya...
Despite the low oil prices, oil and gas projects are progressing In Tanzania.
We see Amnex company has contracted a drilling ship called Caroil rig 2, and now they are drilling in southern part...
Umofia kwenu Great Thinkers,
Je baada ya mbinyo huu wa serikali kuondoa fedha zake ma benki binafsi inaweza kupelekea haya ma benki kushindana kutafuta wateja wa kawaida.
Yaani ushindani huu...
Habari wana jamvi?
Natumaini mu wazima wa afya na Mungu anaendelea kuwalinda.
Nimekuja hapa kuomba ushauri wenu kwa wazoefu wa mambo ya biashara,,ningependa kupata ushauri ni biashara gani naweza...
WADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa...
Habari zenu Wakuu. Nlikuwa naomba ushauri na uzoefu wenu, kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza kufanya biashara gani yenye mzunguko wa pesa mzuri hasa pale jijini Arusha?
Salaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda...
Leo nimekuja na hii "article" hapo chini ambayo inaelezea baadhi ya biashara ambazo mtu unaweza kufanya kwa mtaji wa chini ya hata Laki 2. Iko kwa lugha ya kikwao lakini sio mbaya tuunge-unge...
Vipi wakubwa mzukkka? mizunguko vipi? Swali ndio kama hilo hapo juu, je serikali ina hisa katika hiyo bank? Na kama inayo ni asilimia ngapi? Karibuni wadadavuaji.
“Acceptance is a good state for trading because at this level you can accept losses and profits — both of which are a regular part of trading. In fact, acceptance of small losses is critical to...
AccessBank offers Agro loans to individual farmer ranging from 100,000/- to 25, 000,000/- TZS aimed to offer adequate and timely financial support to farmers to enhance their agricultural...
Habari ya weekend wana jf
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la vyakula na mahitaji mengine muhimu ya kila siku na tangu nianze biashara hii ni zaidi ya mwaka sasa na mwelekeo wa kibiashara ni mzuri...
habari zenu wapendwa, nasikia mitaa ya samaki - Dar kuna wazungu huwa wanauza vifaranga vya kuku ila kwa mwanzo wanakuja kuangalia mabanda yako kisha kwa mara ya kwanza wanakupa vifaranga bure na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.