Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za kazi wana jamvi.... Nilikua na share na kampuni fulani ambayo ilisajiriwa brela na mimi nikiwa share holder na mmoja wa directors lakini mimi sikua owner wala founder wa hiyo kampuni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini za leo? Natafuta mtaalamu wa kuandika mchanganuo wa biashara. NIKO DSM. Nauhakika hapa ndiyo mahali pake. Yeyote mwenye utaalamu huu naomba anifahamishe ili nimpe details. Natanguliza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
UK firm to build Sh2tr resort in Zanzibar
1 Reactions
6 Replies
762 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish From the weekly low of 1.0935, this pair went upwards by over 200 pips, to...
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Mimi ni mwanachuo katika mkoa wa dar,naweza fanya mishe gani huku nikiwa naendelea na masomo kwa kiasi hicho cha fedha . naombeni mawazo yenu wanajukwaa
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Ninahitaji kampuni inayo fanya shughuli ya utafiti na uchimbaji maji. Kazi zinazo takiwa kufanyika: 1. Kufanya survey na kushauri, 2. Kuchimba Kisima. Asante. Josam
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Hallow ... hope wote mko poa. Kuna mahali nilikwenda kutembelea nikapata fursa ya KILIMO tena ni kizur sana pia nilifanya utafiti wa maji yapo pia ardhi inarutuba ya kutosha ila hela ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Despite the low oil prices, oil and gas projects are progressing In Tanzania. We see Amnex company has contracted a drilling ship called Caroil rig 2, and now they are drilling in southern part...
1 Reactions
0 Replies
557 Views
Umofia kwenu Great Thinkers, Je baada ya mbinyo huu wa serikali kuondoa fedha zake ma benki binafsi inaweza kupelekea haya ma benki kushindana kutafuta wateja wa kawaida. Yaani ushindani huu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Natumaini mu wazima wa afya na Mungu anaendelea kuwalinda. Nimekuja hapa kuomba ushauri wenu kwa wazoefu wa mambo ya biashara,,ningependa kupata ushauri ni biashara gani naweza...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
WADAU miye ni mjasiriamali nina uwezo wa kuingiza milioni 2 na pointi kadhaa kwa mwezi kwenye biashara yangu ya kukodisha gari katika hoteli hapa jijini na kuingiza wastani wa milioni 24 kwa...
4 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu Wakuu. Nlikuwa naomba ushauri na uzoefu wenu, kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza kufanya biashara gani yenye mzunguko wa pesa mzuri hasa pale jijini Arusha?
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Salaam wakuu wanaJf. Mimi ni mwanafunzi katika chuo Kikuu Ardhi, mwaka wa tatu. nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya kuuza na kupark na kusambaza mbogamboga na matunda...
10 Reactions
40 Replies
8K Views
Million mbili na nusu ni biashara gani naweza kufanya kwa wale wazoefu wa haya mambo hebu tushirikishane katika hili. Asante.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimekuja na hii "article" hapo chini ambayo inaelezea baadhi ya biashara ambazo mtu unaweza kufanya kwa mtaji wa chini ya hata Laki 2. Iko kwa lugha ya kikwao lakini sio mbaya tuunge-unge...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Vipi wakubwa mzukkka? mizunguko vipi? Swali ndio kama hilo hapo juu, je serikali ina hisa katika hiyo bank? Na kama inayo ni asilimia ngapi? Karibuni wadadavuaji.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
“Acceptance is a good state for trading because at this level you can accept losses and profits — both of which are a regular part of trading. In fact, acceptance of small losses is critical to...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
AccessBank offers Agro loans to individual farmer ranging from 100,000/- to 25, 000,000/- TZS aimed to offer adequate and timely financial support to farmers to enhance their agricultural...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari ya weekend wana jf Mimi ni mfanyabiashara wa duka la vyakula na mahitaji mengine muhimu ya kila siku na tangu nianze biashara hii ni zaidi ya mwaka sasa na mwelekeo wa kibiashara ni mzuri...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
habari zenu wapendwa, nasikia mitaa ya samaki - Dar kuna wazungu huwa wanauza vifaranga vya kuku ila kwa mwanzo wanakuja kuangalia mabanda yako kisha kwa mara ya kwanza wanakupa vifaranga bure na...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…