Habarini wandugu kutokana na hali halisi ya maisha hapa tz n kweli Uchumi umekaa vibaya kwenye baadhi ya watu tulio wengi ebu tujuzane/tupeane taarifa ni wapi haswa tunaweza enda na kupata mikopo...
Habari zenu Nguvu kazi ya Taifa.
Nimepata safari ya kwenda Comoros, Seychelles, Mauritius, Madagascar. Ila ndo mara ya kwanza kwenda huko. Napenda kufahamu kuhusu gharama za usafiri na maisha ya...
Jaman kwa mweny kujua juu ya biashara ya kununua bia company ya BALIMI na kuuza huwa ikoje na unapataje mzigo na kwa bei gan msaada plz kwa mweny kujua
Watu wengi wenye nyumba zenye madirisha ya alluminium wanapata tatizo la mbu kujaa ndani.
Hili linatokana na sababu zifuatazo.
1. Nyavu kuchoka na na kuwa na matundu makubwa.
2. Mafundi kutoweka...
Youthnize.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
A chance to make money!!!!! Just a click on the link above and make the link more worthy than you...
Wana jamii amani kwenu.
Kutokana na serikali kuagiza fedha zote za taasisi kubwa zipitie na kuhifadhiwa benki kuu ,ni dhahiri mabenki yamekosa fedha nyingi za kujiendesha maana taasisi zote...
Taifa linalia na ufisadi, Wapo watu wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ufisadi wa mali za umma. Kuna watu waliochukua fedha za umma na kwenda kulewea na kuzitoroshea ng'ambo zisijulikane, lakini wako...
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
Aya wafanyabiashara na walaji kuna bi dagaa wabichi wa mwanza.Ni wasafi na weupe pee.Tunauza kuanzia kilo tano kwa bei ya 5500 kwa kilo,Weka order yako mapema.ukihitaji naomba uje DM
Habari wana JF nataka kuanzisha kiwanda kdg chakutengeneza chakula cha kuku wa kienyeji malawi,kienyeji pure,chotara,kari nk.......ninamtaji wa milion 6 mwenye ideal na biashara hii msaada pls
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 20
“It sounds attractive to try and make a quick buck, but like anything else, real money is made by slowly compounding your returns.” -...
Nawezaje kupata nembo (logo) ambayo hutumiwa na wafanyabiashara wengi kam utambulisho wa bidhaa zao,kwa mwenye kujua procedure za uptkanaji wa hii kitu naomb anijuze.
Today evening (27th October, 2016 ) TTCL in collaboration with long term partner Huawei Technologies have launched 4.5G LTE service to redefine new user experience to give power, speed & better...
kampuni yetu tumeamua kuibadilisha toka unlimited to limited vivyo tunaitajika kuandaa taarifa za kifedha AUDITED .
Naomba msaada wa kupata CPA ambaye anaweza kuniandalia mahesabu .
naomba tuma...
Kwa wale wauguzi au wenye taasisi mbalimbali zinazo saidia watu mbali mbali katika sehemu za mbali. Wanauwezo wa kutumia Clinic hii katika shughuli zao kwa maana ina hamishika na pia ina kidhi...
Hi everybody
The committed bussiness partner is needed to join hands with Tanzania local company.
The company has full registration and permanent office specialised on OHS Consultancy, Supply of...
Oriflame ni nini????
Ni kampuni iliyotokea sweden iloanzishwa kwa lengo la kufanya mauzo ya moja kwa moja.
Ni nini mauzo ya moja kwa moja??????
Maana yake ni kufanya manunuzi kwa bei ya...