Habari wakuu naombeni msaada wenu kwa wale wazoefu wa hii biashara ya vifaa (spea) za simu naomba mnisadie kunitajia aina gani ya vifaa au spea za simu ambazo ni lazima niwe nazo kwenye hilo duka...
Kama kichwa cha habari kisemavyo ningelipenda kufahamu utengenezaji wa mishumaa materials manunuzi utengenezaji mpaka faida toka kwa mwenye uelewa asanteni
Salaam Wadau!
Nimekuwa nikifuatilia taarifa mitandaoni kuhusu hizi nauli za ndege za AIR Tanzania kati ya Mwanza na Bukoba ambapo kwenda tu itakuwa shs 140000. halafu Mwanza to Dar tshs. 160000...
Wakuu,
Msaada wa mawazo tafadhali. Ninampango wa kusajili kampuni BRELA ila nimepata kigugumizi kwenye jina litakalo-reflect biashara nyingi zinazofanywa na kampuni yangu (mfano: mradi wa shule...
Hii Imenigusa.....
*most will not even bother to read this*
1. Most Africans are religious, but not spiritual.
I don`t know why I started here but let`s move on anyway. Religion is a significant...
Habari..
Kwa yoyote mwenye jamaa au kama ni yeye ambae anaweza kuchoma chama na virieties alike..naomba tuwasiliane kwa namba 0655784688..only serious persons are needed na mwenye kujua sio...
Nimejifunza vingi kwa watanzania wengi wanapenda kushabikia vitu vya kutoka nje, Mimi napenda kuwakumbusha watanzania wenzangu tujivunie vyetu. Jajojo mills niwatengenezaji na wasambazaji wa unga...
Wasalaaam!
Ni po kwa masikitiko juu ya aina hii ya uchaw kwenye biashara,nakumbuka siku moja jamaangu mmoja anafanya biashara ya duka la madawa na M-Pesa alikutwa na msala wa kupoteza laki nne...
Habari ya jioni watu wangu wa nguvu JF
Kuna msaada nina uhitaji kwenu kwa wanaofahamu nini kifanyike ili kuwasaidia hawa watu wameniuliza maswali
1. Mmoja anasema ana kipaji cha kuimba ila...
Dear all,
Salamu. Naomba mwenye ufahamu anijuze kwa sababu nataka kuanza kununua Hisa pale DSE (including IPO) pia kununua Treasury bonds.
hivi hawa brokers huwa wanatoza fee kiasi gani? Je...
Wakuu JF , nategemea kufanya safari ya kikazi kutembelea maeneo ya Lusaka, Ndola na Kitwe.
Naomba kufahamisha masuala anuai juu ya safari kwa maeneo hayo.
Kufuatana na uzoefu binafsi.
Hotel/...
In trading we have a concept known as alpha – that is the measure of skill we bring to the investment process as measured by comparison to a given benchmark. Traditionally we think of generating...
Nina wazo langu la biashara ambalo lipo katika hatua za awali kabisa ambapo itachukua mpaka miezi 4 kukaa sawa. Sasa nafikiria kusajiri jina la biashara ili iwe mwanzo tu kulifanyia kazi wazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.