Tunapofanya evaluation ya viability ya mradi tunaangalia maeneo mbali mbali kama financial risks, operational risk etc.
Leo ningependa kuchambua haya maeneo mawili ili kuwasaidia kimawazo...
Wajasiriamali hebu kamateni fursa ya kuanzisha Airport Shuttle mnaanzia pale Airport na ku-drop watu ama Ubungo/mwenge/Tegeta halafu nyingine ielekee Temeke/Mbagala/Kongowe na nyingine...
Kuna tenda nimepewa na kampuni fulani hapa Dar, naomba yeyote anayeweza kunipa milioni 3 anitafute kwenye hii namba 0673341873, nitarudisha milioni 3.5 kwa muda wa wiki tatu.
Ndugu zangu Naja kwenu
Nashida na M 68
Jaman Naitaji kufanya Biashara ya Pub Maeneo ya Kigambon
Nimeshapata eneo Lipo Sehem nzur tuu kwa Biashara iyo
Na uwakika Ndan Ya Miaka 4 nitakuwa...
Tanzania oil and gas is lucrative and rewarding sector. And with many new oil and gas projects are coming online, a lot of people with their own motivation and reasons look to break into oil and...
Habari zenu wanaJF,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, mimi ni kijana mdogo nina kama miaka 22 nimefanikiwa kusoma mpaka cert ya procurement & supply.
Lakini katika kusoma kwangu nimesoma kwa...
ar es salaam region Mom Makes 13,465,707Tsh/Month From Home And You Won't Believe How She Does It!
Millionaire Mom from Dar es salaam region Tells All How She Makes 238,568,903Tsh/Yr in this...
Habari zenu,wandugu,jamani nlikua naitaji mkopo nkaenda kufatilia kwenye taasisi za mikopo kama finca,nk ili iwe rahisi kupata mkopo n lazima uwe na kikundi kuanzia watu wa tano na kuendelea na...
Washiriki wa Maisha plus East Africa 2016 wapo mbioni kugundua mashine ya kusaga na kukoboa inayo tumia miguu kama baiskel katika kusaga nafaka,mwanzo mzuri,...hongereni
wakuu
nimekua mkulima wa vitunguu kwa misimu miwili,,am happy for it!!
kwa sasa nafikiria kununua vitunguu kwa wingi lets say gunia 100,,then nivihifadhi vichanjani kwa muda wa miezi kadhaa...
Waheshimiwa itifaki imezingatiwa.Baada ya Kushughulika na Kilimo kwa miaka kadhaa,iliyoambatana na hasara Hapa na pale,hebu tuanze kutafakari Mazao yetu jinsi ya kuyaongezea thamani kwa kuzingatia...
Jifunze kauli hizi tano toka kwa huyu mwekezaji maarufu duniani. Robert Kiyosaki ni mwekezaji, mwandishi wa vitabu, Mfanyabiashara na n.k. Ni mtu
mwenye hamasa kubwa na mfano wa kuigwa kutokana...
How I outperformed my Sales Targets
Five years ago I started my business and I used to go to various companies here in East Africa and present my products and services. I would go sometimes...
With the Tanzania's oil and gas sector growing at rapid pace. Everybody can tap opportunities in the oil and gas.
Whether you're providing food services, you are an accountant, computer...
With the oil and gas sector growing at alarming rates in Tanzania and many new oil and gas projects are coming online, a lot of individuals and International companies are coming in Tanzania to...
Habari wadau, sijui kama nimeliweka hili ktk jukwa sahihi.
Naomba kujua toka kwa wadau nini tofauti za cement zilizopo kwny masoko kwa mtumiaji ili kuweza kufanya uchaguzi sahihi kwa ujenzi
Wachina walipotengeneza pikipiki zao za mwanzo, (SanLG na Toyo) ziliingia soko la Tanzania kwa bei ya shilingi laki nne tu. Mchina alipoanza kuuza pikipiki zake kwa laki nne pikipiki ya Mjapan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.