Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Huwa najiuliza ni kwa nini kipindi hiki biashara za Networks Business zimeongezeka kwa wingi tofauti na hapo awali. Je ni inamkomboa mwananchi kutoka umaskini kweli au inamdidimiza? Na Je inafaida...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
ukiangalia hali ya uchumi pound iko juu sana sijui kwani au ndio uchumi kupanda
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Habari zenu tena wadau wetu wa GREDO MEDIA Tanzania, GREDO MEDIA Tanzania ni mmiliki na muandaaji wa Campus Magazine. Jarida jipya na la kisasa linalotarajiwa kuanza kutoka kila mwezi hivi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
ukiyaona yamechongoka katika pembe mbalimbali ni kama vipande tofautiii HALAFU vimeungana kwa pamoja nahitaji kujua ni AINA gani ya madini na thamani yake katika soko la dunia
1 Reactions
31 Replies
13K Views
Habari wadau, Kuna tetesi sana mtaani kua makampuni ya simu yameamriwa na serikali kuuza asilimia 25 ya hisa zao na yataanza kufanya hivyo January Mwakani. Je, taarifa hizo ni sahihi? Na iwapo...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Habari za siku wana Jamii. Natafuta restaurant ya kukodi. Pia mwenye taarifa na kuwepo kwa tenda ya kuendesha canteen ya chuo, ama taasisi yoyote anijuze. Asanteni sana.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nadiriki kusema haya kulingana na hali niionayo sasa hivi. Pia sababu sasa hivi kwa sabab sasa hivi ili kupanda juu lazima ufanye ttukio sitashangaa maandishi haya MTU akataka kupandia cheo...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Wakuu. Mimi ni mtaalamu wa usindikaji wa chakula. Nimesomea BSc Food science and technology , SUA. Nahitaji mtu wa kufanya biashara katika hizi zifuatazo. 1. Pombe aina ya wine ila siitaji wine...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF naomba tusaidiane katika hili afu kitu kingine bidvertiser inasaport lugha ya kiswahili? Asanteni[emoji120]
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Figures show the Chinese economy is worth £11trillion, the US £10.8trillion The IMF estimates China’s economy will be worth £16.7trillion in 2019 The US has been the global leader since it...
0 Reactions
4 Replies
755 Views
Katika hali isiyokuwa ga kawaida mkoani Mtwara leo basi za Machinga zimeshusha bei kutoka 26,000 mpaka 18,000, hizi basi zilikuwa ni High Class kabisa kwa Mtwara to Dar High Class ni 26,000 na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakati shirika la ndege la fastjet lilipoanza shughuli zake hapa nchini takriban miaka 5 iliyopita, lilikabiliwa na changamoto nyingi, mojawapo ikiwa kuzushiwa tuhuma nzito, haswa kuhusu usalama...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari ya majukumu watanzania wenzangu? Kuna siku niliuliza taratibu za kufuatwa ili kumuona DC wadau humu walinielekeza na leo nimefanikiwa kuonana nae. Lengo la uzi huu ni kutaka kushare nini...
15 Reactions
37 Replies
5K Views
Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Hii serikali ya Magufuli kiboko, mipango mingi imebuma! Sasa hebu nipe ushauri hapa. Uwekezaji wa kibank, fixed account unalipa? Yaani napata vijisent kila mwezi lakini income haiko fixed, labda...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu, kama heading inavyojieleza.... Ninahitaji mtu Anayeweza kunikopesha Milioni 2 na nitairudisha ndani ya miezi miwili Kwa Riba... It's Urgent, please I need your help...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Bei ni tsh laki moja tu kwa heka Zinauzwa kuanzia heka kumi na kuendelea Yanapatikana ktk tarafa ya lupembe mkoani njombe Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0764426929,0655726929 na whatsap 0742188846...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Wandugu, ili kujikomboa na halii hii ngumu ya maisha iliyotunyemelea hapa nchini miaka hii, mwenzenu nimejipigapiga na kufanikiwa kujenga mjengo kwa ajili ya biashara ya nyumba ya kulala wageni...
1 Reactions
27 Replies
16K Views
Habari za huku ndani wakuu, poleni na majukumu. Kama kichwa cha habari kinavojielezea. Naomba mkopo wa 3m,na nitarejesha baada ya miezi 6. Mimi niko Morogoro. Dhamana yangu ni Kiwanja Nashukuru.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom