Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana Jf, Mwenyekufaham bei za kushusha magunia ya mahindi (ukuli) zinakuwaje kwa huku dar? Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ushauri wakuu. Nina kama Mil 28. Naweza kupata Nisan Civilian mpya(used Japan) mpaka isimame barabarani au ninunue gari gani zuri la biashara ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninaomba wataalamu wa uchumi na mambo ya fedha wanisaidie katika hili. Nilibahatika kwenda Thailand mwaka jana na nilikuwa na kama USD 600 ambazo jamaa alinituma nimnunulie laptop.Nilifika katika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habar yenu wakuu, hali ya ku manage pesa sio nzuri sana kwa upande wangu, yano pesa ikikaa bank lazima nika withdraw..ni kweli naiotea kidogo katika side hustle, staki kuwekeza mshahara...naomba...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, natafuta mtu aliyeko Kagera ambaye naweza kufanya nae biashara ya ndizi mbichi,kuleta singida,karibu PM kama upo tayari tufanye kazi.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
ESSENCE CONDULT LTD. Kwa wale waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye Nia ya kuanzisha makampuni na biashara ndogo na kubwa lakini hawajuj waanzie wapi essence consult ndio jibu lako. Na wale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasaalam wakuu, Husika na title hapo juu. Kuna tafiti ndogo binafsi nafanya kuhusiana na supply and demand za kokoto nyeusi (black granite) za ujenzi. Ningependa ushirikiano wenu kuhusu bei zake...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Taasisi ya TradeMark East Africa, TMEA, imeahidi kuisaidia Zanzibar, katika kukuza biashara na kuondoa vikwazo vya Biashara kwa bidhaa za Zanzibar, ili ziweze kuingia kwenye soko ya nchi za...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini wapendwa, kama nilivoandika kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata ujuzi juu ya utengenezaji sabuni za kuoshea vyooni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral This pair remains neutral in spite of strong volatility witnessed on other...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Habari zenu wadau Wataalam wa uchumi naomba tusaidiane hapa Tuambiane faida na hasara za kuwekeza pesa kwenye utt miccrofinance ikiwa kama tawi la utt Ahsanteni sana
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwenye utaalama wa kutengeneza BUSINESS CARD nzuri ......please INBOX
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Za jioni ndugu jamaa na marafiki. Naomben msaada wenu wakina. Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Msaada, nataka kununua Gari aina ya successed au Probox hapa Dar zinapatika show room gani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi ninayeandika makala hii, ni mgeni humu Jamii forum, hii ni post yangu ya kwanza hivyo kama nitakuwa pengine nimekwenda kinyume na utaratibu, nadhani mtanisahihisha kwani badala ya...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninatafuta taarifa za vitu hivi kwani nimeamua kuwa mjasiliamali zaidi kuliko kufikiria ajira. 1. Hapa Tanzania ni wapi wanalima kwa wingi Vitunguu Saumu, Dengu na Ngano na bei pia kama...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
An Accurate Friday Strategy for Forex and Binary Options Revolutionize Your Trading Career The purpose of this strategy is to show you how to trade most important fundamental figures that come...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza swali la napotaka kuanza kufanya Branding natakiwa nifanye kitu gani?, kitu cha kwanza ambacho ni msaada mkubwa kwako kwanza unatakiwa uijue Branding yenyewe ni...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
katika majengo mengi ya viwanda huwa kunakuwa na vifaa kama feni vinafungwa juu ya paa ili kutoa hewa nje, naomba kujua vinaitwaje na upatikanaji wake pamoja na bei ikoje
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Wapendwa poleni na hongereni kwa majukum.... Wadau naomba mnisaidie upatikanaji wa mashariti haya na gharama zake kwa mtaji wa million mbili(2M) 1. BARCODES YA BIDHAA 2. TRA RECIT 3. LESSEN...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Back
Top Bottom