Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 17
“You actually know less than you think you do. I found this fascinating and it had me drawing bikes on a blank piece of paper. The central...
Serikali ya CCM iliingia kwa mbwembwe nyingi na mikogo kiasi kwamba ilikua gumzo Duniani,lakini inakoelekea ni kuangukia pua.Nasikia bwana mkubwa kwanza hashauriki analoamua yeye akiamka ndio la...
Zipo taarifa zinazoelezea kwamba kodi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa asilimi 0.3 (0.3%) ilikuwa inalipwa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na kampuni ya Pan Africa Energy. Ni baada ya juhudi...
Ukipenda kujionea huruma na kuyapa maisha yako sababu ya kutokufanya yakupasayo kufanya kwasababu unasema ni magumu kufanyika, ukaamua kuchagua yaliyo mepesi kwako naamini siku zijazo maisha...
Wadau habar za asubuhi, Mimi ni kijana Nina miaka 23, nimenunua canter ya ton 3.5 Je unaweza kufanya shughuli gani ya kudumu tofauti na deiwaka, nipo Kigamboni, Dar-es-salaam! Naombeni ushauri
Nina genge na kaduka kadogo nyuma yake.Tatizo wenye maduka makubwa wanaonizunguka wamekuwa na kawaida ya kuja kuangalia vitu ninavyouza mpaka ninaogopa hasa ikichukuliwa ni mwezi tu nimeanza nazi...
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua...
Ndio habari iliyopo kwa watu wengi akilini ndani ya Dodoma na mikoa mengine bila kusahau mataifa yanayotuzunguka. Naona wagogo wanatupwa pembezoni mwa mkoa, naona walalahoi wa mkoa huu wanapoteza...
Wadau
Tuna soko la uhakika la kahawa nje ya nchi. Muuzaji kama ana shamba mwenyewe au awe anajua kahawa yake inatoka wapi. Soko lipo la uhakika. Mwenye kutaka habri Zaidi tuwasiliana kwa pm...
Wadau naomba kujua kama endapo ntanunua bidhaa kutoka mtandaoni mfano ebay au amazon ntalipia tena gharama nyingine itakapo fika hapa nchini kwa kutumia urgent kama DHL au FEDix? Asanteni :noidea:
Wakuu,
Niko ushirombo-bukombe najishughulisha na biashara ya MPUNGA mara baada ya kumaliza chuo mwezi wa 7, nilianza na junia 1 hadi sasa nachukua mbili ni biashara nzuri inalipa naomba mwenye nia...
Wajasiriamali Wadogo
Nimekuwa ninapekuwa na kusoma hizi nyuzi humu bila kuona hata mmoja unaogusia hali ilivyo mbaya mtaani haswa kwa wafanyabiashara wadogo. Biashara nyingi zinafungwa kutokana na...
Naomba msaada kwenye hizi sekta mbili, ninataka kuendeleza mradi wa ufugaji wa samaki, nahitaji mafunzo yatakayonisaidia kuendeleza huu ufugaji, pia nataka kuanza shamba la mipapai, naombeni...