Tunaonaje hapo? Mwanafunzi kapewa mimba na mwalimu wake kwa hasira tunamfuta kibarua mwalimu (mhalifu), mwanafunzi na mtoto atakayezaliwa wanahitaji kula, kuvaa, kulala, matibabu, na kusoma...
Kwa mara kadhaa sasa nimenunua betri za Panasonic AA, zenye nembo ya TBS, lakini zimekuwa zinaacha kufanya kazi ndani ya nusu saa, zingine hata siku mbili hazifiki. Na hii ni kwa matumizi madogo...
Habari wana Jf.
Ukiwa kama mjasiriamali huru, unatakiwa kuwa huru kwa maana kuchunguza fursa popote na kuzitumia ipasavyo. Ifuatayo ni Fursa ya kupata notes bora za kutengeneza sumu za wadudu na...
Wataalamu wa masuala ya kodi na sheria hebu tujuzeni kama pesa za mshindi wa BBA season 9 Idris Sultan zinapaswa kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria zilizopo Hapa nchini. Nauliza kwa sababu nataka...
Wakuu mimi ni mjasiriamali nina uhitaji wa industrial dryer angalau yenye uwezo wa kukausha tani 30 (kiwango cha chini) kwa siku, sasa sijui naanzia wapi. Naomba ushauri namna ya kuipata, bei yake...
Hello wana JF.
ingia katika link www.facebook.com/abdul.sungita.1 then fungua link ya equity bank kuangalia wazo lake na kulipgia kura. Ni wazo bunifu (PesaApp).
Uchumi Foundation tunatoa Huduma zifuatazo:-
Ushauri jinsi ya kuanzisha biashara kwa mtaji Mdogo.
Kubuni wazo la biashara.
Kuandaa business plans za biashara na makampuni.
Kuandika katiba za NGO...
Habari wadau,
Takriban mwezi mmoja nyuma,vyombo vya habari vilipata kuripot kuwa Kiwanda cha Biotech cha Kibaha kimeweza kupatiwa mkopo mnono na NSSF kwa ajili ya kukiwezesha kifanye kazi.Pia siku...
Tunahitaji mshauri wa mambo ya uwekezaji (investiment advisor) kwa ajili ya mradi wetu ambao tunataka kuufanyia kazi. Kama kuna mtu anataarifa yoyote basi tuwasiliane.
Wana JF heshima mbele;
Nimepata taarifa rasmi kuwa kuna shirika kubwa sana la ndege la wazawa wa Tanzania hapa hapa linaanzishwa litakuwa na ndege nyingi zaidi ya Precision (zaidi ya ndege...
Byase Luteke
During the first week of December 2009, Tanzania joined the rest of the world to commemorate the 69th Anniversary of the International Civil Aviation (ICAO). This is one of the...
“Soon, though, I became aware that there was an even bigger game available to players like me. It was, in fact, the biggest game in town -- the international financial markets. So my interest...
Wanajf,kwanza nitaanza na kuwashukuru sana kwa mawazo yenu mazuri pamoja na ushauri!Julai mwaka huu nilikuja hapa nikiwaomba ushauri wa nini nifanye baada ya kukusanya ka shilingi 700000/=Wengi...
Mara kadhaa utawasikia wabongo wanalalama saaana, kwamba kampuni fulani ya simu, vifurushi vyake ni ghali sana, na hivyo watahamia kwa mpinzani.
Bila shaka wengi wao hawajui kwamba vifurushi...
Nina mpango wa kuagiza nguo za wanawake toka China online kupitia ALIBABA mwezi November, Ninataka kuanza kuagiza pieces 200 kwanza, Ninaomba mnipe uzoefu wenu na ushauri kwa ujumla juu ya mambo...
Nimpongeze sana mkuu wa nchi kwa mapinduzi anayokuja nayo kwa maslahi ya nchi. Lakini unapofanya jambo la kitaifa ni vizuri kufikiria mara mbili ili usilete AIBU. Ni vizuri kufanya jambo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.